Kwanini mizinga toka kwa wanawake imekuwa ya hatari?

Kwanini mizinga toka kwa wanawake imekuwa ya hatari?

Dawa ya huyo anaekwambia anadaiwa 300,000 ya kodi kama hio hela unayo unamwambia nakuja kulipa mwenyewe kwa baba/mama mwenye nyumba kwaio mwambie aje na mikataba hatothubutu kitu hicho hata siku moja
 
Dawa ya huyo anaekwambia anadaiwa 300,000 ya kodi kama hio hela unayo unamwambia nakuja kulipa mwenyewe kwa baba/mama mwenye nyumba kwaio mwambie aje na mikataba hatothubutu kitu hicho hata siku moja
Kweli mkuu
Ila ni vijanja sana kwenye pesa
Haya matandam kidogo wana afadhali
 
Write your reply...Ukiwa bahili vizuri utavisikia tu
 
Hee unaombwa hela unapangiwa mpaka kiasi????? .....me najua ukiomba mfano lotion husemi ya sh ngapi unasubiri mwamala tu ...mwanaume mwenyew atajiongeza juu kwa juu

Khaaa .... hivi mtu unaombaje hela ya lotion jamani , inamaana mtu huna hata hela ya lotion ? Ndo maana dharau zinazidi
 
Sababu nihiii.

Mmewaaminisha wenyewe kua Pesa ndo zinatongoza.

Na mtapigwa mizinga na mtaishia kua watu wamadeni tuuu!!
 
Mimi nilishastaafu kugandana na mwanamke. Tunafanya biashara tunatokana. Yaani hakuna kujuana hovyo.
 
Nimeipenda hiyo ya iwe ukumbusho na sio jiwe chetu ili mwingine are ajenge
 
Nimeipenda hiyo ya iwe ukumbusho na sio jiwe chetu ili mwingine are ajenge
Wanataka wawelewe ukumbusho
Kwani hatukawii kuwapiga chini
Wanajihami
 
Khaaa .... hivi mtu unaombaje hela ya lotion jamani , inamaana mtu huna hata hela ya lotion ? Ndo maana dharau zinazidi
Ni mfano huo......lotion kwani bei gan
 
Baby nina mimba yako tuma hela ya matumizi unalea mimba kumbe siyo yako.hawanaga aibu hawa viumbe.
Hahahahahaha Nina huu mpango mungu anisamehe ila ninafikiria kufanya mawazo yamefika asilimia 74.555
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom