Kwanini mitandaoi yetu ya internet ina spidi ya kobe?

Kwanini mitandaoi yetu ya internet ina spidi ya kobe?

nilikuwa nawaonesha hawa wanaosema mitandao spidi ya kobe
ndio matatizo ya kukesha kwenye majukwaa ya mmu na chitchat n.k igekuwa watembeleaji wa jukwaa hili mara kwa mara wangekuwa wshajua nini cha kufanya
 
nilikuwa nawaonesha hawa wanaosema mitandao spidi ya kobe

speeds nzuri sana za voda. nisipopata 5GB kila siku naona kama kosa
15heupt.jpg
 
Speed ya internet:
1.Type of modem used
2.Location kama uko mbali na mnara obvious utakuwa unapata net ya kobe
3.No of user kama users mkiwa wengi mnagombania tunnel lazima mtanyang'anyana bandwidth
4.kufanya mambo lukuki at per,fanya mambo mawili au ma3 sio umefungua window kumi zote zina download pages
5.check computer yako baadh ya ant virus zinaslow internet speed
 
Hapa magomeni ipo poa kabisa.
 

Attachments

  • test1.jpg
    test1.jpg
    12.8 KB · Views: 40
Mleta mada hilo tatizo linahusiana na computer yako tu na si mitandao, maana kama umejaribu yote na bado speed ile ile hiyo kazi ni kwako.

Mleta mada swali la kwanza kabisa anatakiwa aeleze yuko sehemu gani, then anatumia device gani LAKINI KWANZA YUKO WAPI maana hata sijui kama anajua kucheck kwamba anapata 2G au 3G
 
Back
Top Bottom