Spidi kubwa zaidi ya internet yawekwa hadharani

Spidi kubwa zaidi ya internet yawekwa hadharani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,828
Imevunja rekodi ya 4G. Kwa mujibu wa Opareta mmoja wa Mtandao spidi hiyo ni noma inaweza kupakua mzigo wa filamu iliyotayarishwa kwa mfumo wa Blu-ray kwa Sekunde 44 tu!! Daah aisee hii ije Tanzania!!.

Kampuni moja wa huko Finland iloleta hizo stori inaitwa Elisa wanasema net hiyo imeandikisha spidi ya GB 1.9 kwa sekunde wakati ilipofanyiwa majaribio.
BBC


A new record has been set for the world's fastest 4G mobile internet speed, according to a network operator.

Finnish firm Elisa says it has achieved a 1.9 gigabit-per-second (Gbps) speed on a test network, claiming this is the fastest on record.

The hyper-fast mobile internet service could theoretically download a Blu-ray film in 44 seconds.Fastest mobile 4G network speed record 'broken' - BBC News
 
hahhaa huku kwetu sijui itafika lini maana 4G za huku jina tu speed hakuna kabisa
 
Imevunja rekodi ya 4G. Kwa mujibu wa Opareta mmoja wa Mtandao spidi hiyo ni noma inaweza kupakua mzigo wa filamu iliyotayarishwa kwa mfumo wa Blu-ray kwa Sekunde 44 tu!! Daah aisee hii ije Tanzania!!.

Jamaa mmoja wa huko Finland alieleta hizo stori anaitwa Elisa anasema net hiyo imeandikisha spidi ya GB 1.9 kwa sekunde wakati ilipofanyiwa majaribio.

BBC

A new record has been set for the world's fastest 4G mobile internet speed, according to a network operator.

Finnish firm Elisa says it has achieved a 1.9 gigabit-per-second (Gbps) speed on a test network, claiming this is the fastest on record.

The hyper-fast mobile internet service could theoretically download a Blu-ray film in 44 seconds.Fastest mobile 4G network speed record 'broken' - BBC News
FYI: Elisa is a mobile FIRM (kampuni ya simu) and is not jamaa!
 
Ikifika hapa makampuni yetu ya simu utasikia kujiunga kifurushi cha masaa 24 laki tatu!
 
Na huko ndiko dunia ya tech inakoelekea tutafika tu..na baadae itakua free
 
Hata ikija hatuwezi faidi... gharama ya vifurushi vya internet vyazidi kupanda kila kukicha. Inatuathiri sana siye ambao ulevi wetu ni internet, .... Daaa na hizi Movie, Series nitazidi kuzisikia kwa Bomba sasa!
 
Back
Top Bottom