Kwanini misimu/vipindi vya jua huwa vinakuwa virefu kuliko vya mvua?

Kwanini misimu/vipindi vya jua huwa vinakuwa virefu kuliko vya mvua?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
 
Kapitie tena weather,climate,water cycle, physical geography..kukueleweshs NI kazi ngumu no Sawa na wewe tukuulize kwanini mimba ya binadamu ni miezi tisa wakati ya tembo no Miaka miwili na wote NI mamalia
 
Kama hujasoma geography hata kukuelewesha itakuwa ngumu..
 
Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
Inategemea na jiografia ya dunia na inatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine....... Kuna sehemu nvua zinanyesha karibu kipindi chote cha mwaka

Kuna mahali wanaona ni giza karibu mwaka mzima nk nk
 
asante sana.
 
Upo wapi mzee ??
(Mkoa gani ?)
Kuna sehem jua wanalimiss
 
Back
Top Bottom