Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,257
- 8,178
B
Bora Singida ndugu yangu man stendi nzuri na mji Uma lami, tembelea wilaya za Kigoma utashangaa majitu yanayopenda kujirundikia Aina zote za miundombinu.sisi wa singida ndio tumesahaulika kabisa. Ni kama lesotho ndani ya SA. hata wabunge wetu wanashambuliwa na watu wasiojulikana. Waliokuwa wateuliwa wote wamefyekelewa mbali. Singida ni yatima mno awamu hii kuliko sehemu yeyote ya nchi hii.