Kwanini miradi mingi inaelekezwa Dodoma na Chato?

Si kwa ubaya

Nataka kujua kwanini miradi mingi au karibia kila kitu kinachoanzishwa basi kinaelekezwa Dodoma au Chato...mbona hatusikii maeneo mengine yakitajwa kwenye mipango hi km Mbeya, Ruvuma, Pemba,Mafia,Sumbawanga
Nawahi siti kwanza
 
Barabara ya Namanga Arusha iko Chato?
Ule mradi mkubwa kabisa wa Maji kule Arusha nao uko Chato?
Upanuzi wa bandari Mtwara, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara vyote viko Chato
Uwanja wa mpira Kwa Majaliwa kule,
Barabara ya Katavi Tabora
SGR
Stiglers
Ubungo
Mfugale
Salender bridge

Muwe mnafichaga na Ujinga wenu wakati mwingine
By the way, Chato siyo Burundi wala Congo, so hata kila kitu kikiwekwa huko bado ni Tanzania
Pumbavu kabisa
 
Punguza jazba we sngura tpe

Ova
 
Si kwa ubaya

Nataka kujua kwanini miradi mingi au karibia kila kitu kinachoanzishwa basi kinaelekezwa Dodoma au Chato...mbona hatusikii maeneo mengine yakitajwa kwenye mipango hi km Mbeya, Ruvuma, Pemba,Mafia,Sumbawanga
Afadhali Dodoma tunaweza kusema tumepanga kupafanya mji mkuu kitambo (kimakosa kwa maoni yangu).

Kwa hiyo, kwa case ya Dodoma, huo ni mji mkuu watu wanaweza kusema.

Huko Chato ni nepotism tu.

Hizi habari kwamba wanataka kujenga uwanja mkubwa wa michezo ni kweli au stories za watu tu?
 
Barabara ya Namanga Arusha iko Chato?
Ule mradi mkubwa kabisa wa Maji kule Arusha nao uko Chato?
Upanuzi wa bandari Mtwara, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara vyote viko Chato
Uwanja wa mpira Kwa Majaliwa kule,
Barabara ya Katavi Tabora
SGR
Stiglers
Ubungo
Mfugale
Salender bridge

Muwe mnafichaga na Ujinga wenu wakati mwingine
By the way, Chato siyo Burundi wala Congo, so hata kila kitu kikiwekwa huko bado ni Tanzania
Pumbavu kabisa
Umenena vema mkuu
 
hawanaga jema mkuu... hata rais akitema chini wao wanapata headline..
 
Afadhali Dodoma tunaweza kusema tumepanga kupafanya mji mkuu kitambo (kumakosa kwa maoni yangu).

Kwa hiyo, kwa case ya Dodoma, huo ni mji mkuu watu wanaweza kusema.

Huko Chato ni nepotism tu.

Hizi habari kwamba wanataka kujenga uwanja mkubwa wa michezo ni kweli au stories za watu tu?
Waziri ametangaza tayari wanajenga liwanja likubwa huko zaidi ya ule was taifa
 
Barabara ya Namanga Arusha iko Chato?
Ule mradi mkubwa kabisa wa Maji kule Arusha nao uko Chato?
Upanuzi wa bandari Mtwara, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara vyote viko Chato
Uwanja wa mpira Kwa Majaliwa kule,
Barabara ya Katavi Tabora
SGR
Stiglers
Ubungo
Mfugale
Salender bridge

Muwe mnafichaga na Ujinga wenu wakati mwingine
By the way, Chato siyo Burundi wala Congo, so hata kila kitu kikiwekwa huko bado ni Tanzania
Pumbavu kabisa
Kiukwel watu Kama mtoa mada wanaboa Sana yaani wanapenda Sana kupinga vitu Bila kuwa na information umemjibu vizuri huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom