mbwa mwitu alievalishwa ngozi ya kondoo

mbwa mwitu alievalishwa ngozi ya kondoo

camp konzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
534
Reaction score
1,044
popote pale atakapokanyaga watu umtambua kama kijana mpole mno na mstarabu hali iyo usababisha mabinti na wamama kusogea karibu yake lakini mwisho wa siku uwa awaamini kilichotokea kwa kua ujikuta tayari wameshatafunwa

ata umfanyie kosa gani uwa anasema namuachia mungu lakini uwa ana kisasi kibaya mno na kisasi chake uwa akiishi mpaka akumalize kwaiyo kivyovyote vile ni lazima ahakikishe amekumaliza

mara nyingi sana upenda kukaa mwenyewe sehemu zilizo na utulivu wa hali ya juu kama vile ufukweni mwa bahari au msituni kwenye sauti za milio mingi ya ndege

wakati mwingine uwa anafanya action ngumu mno adi badae uwa anajiuliza ivi uyu ni mimi kweli ndo nimefanya ivi

kwa kweli wala sijutii kuwa ivi nilivyo ndani ya huu ulimwengu
 
40 yako itakuwa ni ya maumivu na mateso makali sana. Wewe endelea na huu upumbavu wako. Na sisi tutakutafutia dawa nzuri ya kukukomesha.
 
niko na mda mchache sana kuipata iyo 40 kwaiyo sidhani kama utabiri wako utatimia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom