Hahaaa huyo mume mjanja sana na balaa sana
lengo ni kuhakikisha mkewe anakutuhumu hadi ukasirike
ufikie sehemu useme bora nituhumiwe kwa ya kweli utembee nae..
ni mtego tu wa kusingiziwa umeiba ili uibe kwa hasira.....
vunja urafiki tu na huyo rafiki yako angalau for now

Aliyekwambia mume wa rafiki yako akikutaka unamwambia best yako nani?Hilo ndo kosa.Hata mie ningewachonganisha tu,KUA.
Kama vipi toka nae kweli tu si ndio anavyotaka???.maana kila ukijitetea hakuelewi.
Ushoga wa kijinga achana nae tafta rafiki mwingine
Hiyo ni janja ya mume wa tafiki wako. Hapo anajaribu kucheza kama Pele, ili ahakikishe anakupata kwa njia ya wewe kujinasa kwenye ulimbo.
Kama nikweli hautoki nae na unataka kuishi maisha poa na yenye amani.
1- Anza kwa kumtosa huyo unae muita rafiki.
2- Vunja chochote kinachoweza kikakuweka karibu na mume wa rafiki wako.
3- Usizungumzie habari zao kabisa na chochote kinacho husiana na wao, hata kama unasingiziwa au kuwekwa kwenye mazingira ya kuzungumzia issue hiyo.
4- Jiweke bize na mambo mengine yanayo kuhusu wewe pasipo kuku kutanisha na huyo rafiki wako.
Ivo
Ila mkuu, hawa watoto hawawezi kuandika vizuri ili tusipate shida kusoma? Macho yenyewe yalishajifia!
habarini zenu wakuu, ninaomba mnisaidie mimi ninarafiki angu tunaesaidiana kwenye shida na raha hawezinificha ki2 wala mimi cwezmficha ki2, kuna cku moja mme wake alinitumia txt ya kunitongoza mm nikamuonesha mdg wng ile txt nikasema huyu kachanganyikiwa au mm nikamjibu anikome tena anitolee mabaraa tangu hapo hajanitafuta tena, cku moja kagombana na mke wake, mke wake akanifuata nyumbani na kunieleza eti mme wake anadai nmetembea nae na alinipa ujauzitona pesa ya kutoa kitu ambacho co kwel mm nikamwambia cjawah kutembea na mme wake na wala hajawahi nipatia pesa yyte nkamwambia bac 2mfuate mme wako aseme mbele yangu akakataa akidai mme wake n mkali bac cku zikaenda jana hyo best yngu kaja kwa mama yang nakumweleza kuwa eti mm natembea na mme wake, mara ananipatia pesa mm badala yake nakati cjawah kula hata mia ya mme wake eti anadai anaambiwa na watu eti natoka na mmewe mm nkamwambia bac amwite hyo m2 anithibitishie kama nkwel au la hatak kumtaja huyo m2, yani hapa cna hamu na best yng wa mmewe
Kumbe mzee na wewe huwa unasumbuka kuelewa ukiwasoma eeh?
Mimi siku hizi huwa nawaruka tu.