Kwanini mimi?

Kwanini mimi?

Huo ugonjwa unakutafuta mkuu kupitia agents ambao ni hao warembo so unaonekana una mvuto ili waje wenyewe jifunze kukataa... Sio lazima uwapitie wote. Nimewahi kuwa kweye situation kama yako so naelewa sio sifa mkuu.

Xmass Boy.
Huwa siwapitii wote mkuu,kuna vigezo ambavyo nimeviweka so ni lazima mwanamke awe navyo ndo nimgegede
 
Mpenda sifa!! Baada ya kutongozwa sana na wanawake pm leo umekuja tena na jipya!
 
pale unapoachwa na ex aliyekua anaroho tajiri na ukajua mpo mtandao mmja wa kijamiii unaandika ili aumie kwasababu wew umemove onn lakin bado unaumia sasa unaona mwenzako anaendelea unajitahid aumie kwasababu kila mda yupo akilin eeeh Mungu mpunguzie adhabu kijana uyu matusi ni bora kwa afya yako yanapunguzza msongooo
 
Habari zenu wanabodi.

Nimatumaini yangu mu-wazima wa afya njema.Naomba nijielekeze kwenye mada husika pasi na kuwachosha.
Kilichonifanya kujiuliza swali hilo hapo juu ni kutokana na mfululizo wa matukio kadhaa wa kadhaa ktk mahusiano yangu ya kimapenzi.
Nakumbuka tangu nianze mahusiano ya kimapenzi nikiwa shuleni huko hadi Leo hii,haijawah kutokea hata Mara moja
1. Mimi kupigwa kibuti na binti zaidi ya Mimi kuwatema tu wao na kuishia kutaka kujiua
2.Kuhonga wala kuombwa Pesa zaidi tu ya wao kunipa Mimi mkwanja
3.Sijawahi kutongoza binti wala mwanamke yeyote tangu nianze kugegeda zaidi ya wao kunianza mimi kunitaka kimapenzi
4.Kila ninayemgegenda nikitishia kumuacha tu lazima achukue maamuzi ya kutaka kujiua
5.Nikimgegeda binti lazima na mdogo wake nimle kama anae au rafiki yake(kumbuka hata wao hujileta wenyewe tu)

Sasa huwa najiuliza kwanini Mimi niko ivi?je hii ni laana au ngekewa? maana hata marafiki zangu huwa wananishangaa sana kwakweli.

Wanabodi,kuna mengi ya kushangaza kuhusu Mimi ktk mapenzi lkn kwa vile muda ni Mali naomba nikomee hapa kwa leo .

Karibuni kwa maoni yenu
Please please please Bro lipia TANGAZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenda sifa!! Baada ya kutongozwa sana na wanawake pm leo umekuja tena na jipya!
Ndo lile lile tatizo mkuu la kupendwa na kuhongwa na wanawake bado linanisumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom