Kwanini mimi?

Kwanini mimi?

Habari zenu wanabodi.

Nimatumaini yangu mu-wazima wa afya njema.Naomba nijielekeze kwenye mada husika pasi na kuwachosha.
Kilichonifanya kujiuliza swali hilo hapo juu ni kutokana na mfululizo wa matukio kadhaa wa kadhaa ktk mahusiano yangu ya kimapenzi.
Nakumbuka tangu nianze mahusiano ya kimapenzi nikiwa shuleni huko hadi Leo hii,haijawah kutokea hata Mara moja
1. Mimi kupigwa kibuti na binti zaidi ya Mimi kuwatema tu wao na kuishia kutaka kujiua
2.Kuhonga wala kuombwa Pesa zaidi tu ya wao kunipa Mimi mkwanja
3.Sijawahi kutongoza binti wala mwanamke yeyote tangu nianze kugegeda zaidi ya wao kunianza mimi kunitaka kimapenzi
4.Kila ninayemgegenda nikitishia kumuacha tu lazima achukue maamuzi ya kutaka kujiua
5.Nikimgegeda binti lazima na mdogo wake nimle kama anae au rafiki yake(kumbuka hata wao hujileta wenyewe tu)

Sasa huwa najiuliza kwanini Mimi niko ivi?je hii ni laana au ngekewa? maana hata marafiki zangu huwa wananishangaa sana kwakweli.

Wanabodi,kuna mengi ya kushangaza kuhusu Mimi ktk mapenzi lkn kwa vile muda ni Mali naomba nikomee hapa kwa leo .

Karibuni kwa maoni yenu
Utakua shoga mana upo tofaut na wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom