Wana jamvi ktk uchunguzi husio rasmi nimegundua kuwa wasichana wa mikoa ya kusini uzaa wakiwa na umri mdogo sana, tofauti na wa mikoa ya kanda ya ziwa.nikwa sababu gani? Tujadili wote.
Utagiti wako sio rasmi. jibu la swali lako .ni wanazaa mapema kwa sababu wanashiriki ngono mapema. kama kuna njia mbadala ya kipata mimba zaidi ya ngono tuambie. nyani we. thread gani hii inaleta hapa . nuambhfff
hizi ni matrilineal societies,akina mama ndio wenye wajibu wa kuendeleza koo zao
Wana jamvi ktk uchunguzi husio rasmi nimegundua kuwa wasichana wa mikoa ya kusini uzaa wakiwa na umri mdogo sana, tofauti na wa mikoa ya kanda ya ziwa.nikwa sababu gani? Tujadili wote.
Wana jamvi ktk uchunguzi husio rasmi nimegundua kuwa wasichana wa mikoa ya kusini uzaa wakiwa na umri mdogo sana, tofauti na wa mikoa ya kanda ya ziwa.nikwa sababu gani? Tujadili wote.
Sheria za inchi zilipobadilishwa kwa kuongeza umri wa mtoto wa kike kuolewa, hazikugusa kabisa tamaduni za wenyeji. na wenyeji wengi ukizingatia kuwa elimu yao ya kisasa bado ipo chini wameenelea na mfumo wao wa mafunzo kama walivyo fanya enzi na enzi bila kujali mabadiliko yaliyotokeea ktk mfumo wa maisha. kwao hata sheria zinazokataza binti kuolewa chini ya miaka 18 hawazijui, hawaomi umuhimu wake, sanasana wanaona zinawakandamiza na kuingilia uhuru wao.
nadhani hili limebaki kwenye vitabu tu.kiukweli watoto wa maeneo haya wanauangalizi hafifu toka kwa wazazi.wamepata nafasi yakujua mapema sana mambo kadha wa kadha kutokana muingiliano mkubwa uliopo kati yao na jamii nyingine.hivyo ni rahisi kwao kupata mwanya wakufanya walitakalo.
tamaduni za kanda hii pia zinachangia mtoto wa 13 or 14 years hufundishwa kila kitu juu ya kumhandle mume."practicing makes perfect" nao pia huujua msemo huu after theoretical learning practical is needed.
cha tatu ni kutokuwepo kwa woga kwa watoto hawa kwa wazazi wao.ukanda wa pwani unastahiki kutajwa kama wenye watoto wasio na woga kwa wazazi.it's quite different to other regions.hili linatokana na makuzi ambayo hayana hadhi ya ubaya ila si mazuri.just imagine mtoto wa miaka 10 analelewa na Mama wa miaka 25 ambaye hajaolewa na ana watoto wengine watatu toka kwa wababa tofauti.......
cha nne ni ugumu wa maisha.kanda hii hailimi ndizi kama kwa kina lumanyisa.kukikosekana chakula nguvu ya ziada huitajika.hivyo watoto wamekuwa mtaji mwema kwa family nyingi....
Wana jamvi ktk uchunguzi husio rasmi nimegundua kuwa wasichana wa mikoa ya kusini uzaa wakiwa na umri mdogo sana, tofauti na wa mikoa ya kanda ya ziwa.nikwa sababu gani? Tujadili wote.