Sijui hata kwann......ila sa iv naacha kwakweli sioni faida yake!Sasa kwa nini unachepuka? Unahatarisha afya yako na ndoa yako
Tushawazoea hata hatushtuki na maneno yao tena ukiwaza kua ww ndo unamtunzia familia yake hata uhai wake unawapuuza tuu as long ataenda atarudiUmeongea kweli, ukimwambia muoe utaona anavyokimbia kama panya anakimbia moto porini
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ushindani haupo tu kwenye uwanja wa kibiashara, ila pia hata kwa michepuko vs wivesS - STRENGTH
W - WEAKNESS
O - OPPORTUNITY
T - THREAT
[emoji23][emoji23]
Kuwa na hofu ya Mungu, hamna Cha maana unachopata zaidi ya kuharibu furaha yako nyumban na kuleta magonjwa.mke nampenda sana nayeye hilo analijua bt sijui tu hiyo hulka ya kuchepuka inatoka wapi.
Yaani acha tu, halafu eti ndiyo kichwa cha familia huwa najiuliza kiwiliwili gani hicho kinachoendeshwa na hiki kitikiti maji maana hakijulikani kiendako [emoji23][emoji23][emoji23] kikisikia kelele huku kinakimbia kimbiaTushawazoea hata hatushtuki na maneno yao tena ukiwaza kua ww ndo unamtunzia familia yake hata uhai wake unawapuuza tuu as long ataenda atarudi
hahahaaaaYaani acha tu, halafu eti ndiyo kichwa cha familia huwa najiuliza kiwiliwili gani hicho kinachoendeshwa na hiki kitikiti maji maana hakijulikani kiendako [emoji23][emoji23][emoji23] kikisikia kelele huku kinakimbia kimbia
Wanajituma maana wanajua wao ni spea tairi.natumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?