Ndio hivo mtu achepuke kwa tamaa zake na sio kulinganisha mke, mume na mchepuko. Uchepukaji ni choice tu Sasa kulinganisha na mke au mume ni ukichaaUkioa mchepuko basi tena utatafuta mwingine mchepuko
Mbona hata nyie mnazaa nje, vizuri why kwa mwanamke iwe nogwanyie wanawake ndo mnawathamini sana michepuko, ikiwa mnafikiaga hatua ya kuwaambia mtawazalia akat mnajua mpo katika ndoa nin maana yake
mkuu sie tunazaa nje bt hatuwabambikii watoto bt nyie mnazaa nje alafu mnatubambikia watoto miaka nenda rudi tunalea then mwisho mnatuambia sio wetu dah!Mbona hata nyie mnazaa nje, vizuri why kwa mwanamke iwe nogwa
Halaf kibaya zaidi hajui kwamba mke wake anayemuona wa kawaida pia ni mchepuko kwa mwanaume mwingine ambaye pia anajiuliza kwa nini ni mtamu kuliko mke wake wa halaliMindset tu hiyo bro hakuna jipya. Hata wa kwako ukimtune vizuri huyo mchepuko utauacha
The law of demand and supply!natumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
Watu mko deep sana mpaka mna apply na economic kwenye mjadala wa mgegedo, mambo ya demand na supplyThe law of demand and supply!
ukitaka kuamini tumia muda mwingi na mchepuko utabaini mkeo ana afadhali!
Mpe mimba azae awe na majukumu kama ya mkeo utatafuta mwingineTatizo wanawake wana tabia ya kujisahau, akishaolewa na kuwekwa ndani anajiona kamaliza kila kitu, ile kujiweka safi kumvutia mumewe inapotea, mara asingizie kachoka sababu ya kazi za home! Mchepuko unakuta ni msafi balaa na anajituma mwanzo mwisho!
Unajuaje kama niwako tena huko ndiyo mnabambikiwa haswaaaa mnalea wanaume kuanzia 3 na kuendeleamkuu sie tunazaa nje bt hatuwabambikii watoto bt nyie mnazaa nje alafu mnatubambikia watoto miaka nenda rudi tunalea then mwisho mnatuambia sio wetu dah!
Umeongea kweli, ukimwambia muoe utaona anavyokimbia kama panya anakimbia moto poriniMpe mimba azae awe na majukumu kama ya mkeo utatafuta mwingine
Hapa ngoma drawHata mkeo ni mtam sana kwa mchepuko wake,.
Mjuba asali ni tam, lakin haikolei kweny chai[emoji23][emoji23] ko ni mwendo wa miti mingi kwa michepuko ila mother house atabak kileleni[emoji869][emoji38][emoji23][emoji23]natumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
S - STRENGTHTake this from me, mwanamke yoyote anaejua anatembea na mume wa mtu huwa wanajiongeza sana, wanatumia theory ya SWOT analysis... Madhaifu ya mkeo kwake ndiyo strength [emoji123], atakupa utamu wote ambao hujawahipata kwa mkeo
Sasa kwa nini unachepuka? Unahatarisha afya yako na ndoa yakoSijawahi kukutana na mchepuko aliyemzid mke wangu kwakweli!