Cha kuiba hicho, bandu bandu....natumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
Take this from me, mwanamke yoyote anaejua anatembea na mume wa mtu huwa wanajiongeza sana, wanatumia theory ya SWOT analysis... Madhaifu ya mkeo kwake ndiyo strength [emoji123], atakupa utamu wote ambao hujawahipata kwa mkeonatumai hamjambo.
wakuu kwa nini hawa viumbe wakuitwa michepuko ni watam sana kuliko wenza wetu majumbani?
nimekua nikijiuliza sana swali hili coz kama ni nyuchi ni zile zile bt attention tunayoipata kwa michepuko ni ya pekee sana jambo ambalo hufanya hata wanaokomeaga goli moja wakapga goli nyingi.
je wakuu hali hiyo inasababishwa na nini?
mkuu kwani wa ndani hawafinyii?Wanajua kufinyia ndani kwa ndani, afu wanachia kama yote kwn ajua asipoonesha ufundi ataachwa!
madhaifu ya mke atayajuaje mkuu?Take this from me, mwanamke yoyote anaejua anatembea na mume wa mtu huwa wanajiongeza sana, wanatumia theory ya SWOT analysis... Madhaifu ya mkeo kwake ndiyo strength [emoji123], atakupa utamu wote ambao hujawahipata kwa mkeo
Ukiwa nae mchepuko utashangaa tu unayaongea ulimi unatete kama umelogwa vile ukipewa viuno utaanza sasa mama naniii mbona hivi vitu hanipimadhaifu ya mke atayajuaje mkuu?
Halafu acha uhunimadhaifu ya mke atayajuaje mkuu?
mkuu kwani wa ndani hawafinyii?
funguka mkuu.Wewe acha tu mambo ya wakubwa hayo
umelenga mule muleUkiwa nae mchepuko utashangaa tu unayaongea ulimi unatete kama umelogwa vile ukipewa viuno utaanza sasa mama naniii mbona hivi vitu hanipi
mkuu kuchepuka kwa mwanaume ni sunaHalafu acha uhuni
Hakuna suna baki njia kuu, jaribu kumuona mkeo mpya kila sikumkuu kuchepuka kwa mwanaume ni suna
Mwanaume anapenda sana mademu wa nje kwanza mchepuko unajua kwake unakwenda kwa issue gani hapo hakuna ada sijui takataka gani sijui madogo wamepiganai wewe kule ni game tu ila kwa wife kwa lundo la msala wa kuchelewa kurudi, mara sijui madogo nguo wamechana yani fujo mzuka wa game hamna kabisafunguka mkuu.
Exactly, we ukitaka kuamin muoe huyo mchepuko uone Kama hutaona mkeo ana nafuu kubwaaaMindset tu hiyo bro hakuna jipya. Hata wa kwako ukimtune vizuri huyo mchepuko utauacha
mke nampenda sana nayeye hilo analijua bt sijui tu hiyo hulka ya kuchepuka inatoka wapi.Hakuna suna baki njia kuu, jaribu kumuona mkeo mpya kila siku
umemaliza kila kitu.Mwanaume anapenda sana mademu wa nje kwanza mchepuko unajua kwake unakwenda kwa issue gani hapo hakuna ada sijui takataka gani sijui madogo wamepiganai wewe kule ni game tu ila kwa wife kwa lundo la msala wa kuchelewa kurudi, mara sijui madogo nguo wamechana yani fujo mzuka wa game hamna kabisa