LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,315
Kama mada isomekavyo hapo juu ningependa kujua kwa nini serikali imeamua kuwa miaka 25 kushuka chini ndo wenye nguvu za kufanya kazi?
Tumeshuhudia takukuru wakitoa nafasi za kazi na targeted applicants walikuwa 25 and below na pia JKT tumeona wamewaignore majority ambao wengi ni degree holders ambao wengi ni jobless na wako zaidi ya 25 yrs na kuamua kuwachukua watoto wenye umri wa kuanzia 16 je hawakusoma sharia ya kazi inayomtaka mwajiriwa awe mtu mzima miaka 18+?
Na kama kuvitumikia vyombo vyetu vya ulinzi umri ni kigezo kimojawapo kwa nn wasiwastafishe wanajeshi na watu wa takukuru wote wenye umri wa kuanzia miaka 40 ili kubaki na vijana shupavu?
Ni mpumbavu pekee atakayesema eti wanaenda kujitolea wakimaliza mikataba yao wanarudi majumbani mwao ilihali vyombo vyote vya ulinzi wanaenda kurecruit huko makambi ya jkt?
Na kama vijana wenye miaka 26+ ni wazee kulitumikia taifa lao basi serikali ione inawajibu wa kuwalipa pension kwa uzee wao na wasisimbuliwe na madeni yenu ya loan board?