Kwanini miaka 25 kwa serikali ya awamu hii na mamlaka zake?

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
1,561
1,315
Kama mada isomekavyo hapo juu ningependa kujua kwa nini serikali imeamua kuwa miaka 25 kushuka chini ndo wenye nguvu za kufanya kazi?

Tumeshuhudia takukuru wakitoa nafasi za kazi na targeted applicants walikuwa 25 and below na pia JKT tumeona wamewaignore majority ambao wengi ni degree holders ambao wengi ni jobless na wako zaidi ya 25 yrs na kuamua kuwachukua watoto wenye umri wa kuanzia 16 je hawakusoma sharia ya kazi inayomtaka mwajiriwa awe mtu mzima miaka 18+?

Na kama kuvitumikia vyombo vyetu vya ulinzi umri ni kigezo kimojawapo kwa nn wasiwastafishe wanajeshi na watu wa takukuru wote wenye umri wa kuanzia miaka 40 ili kubaki na vijana shupavu?

Ni mpumbavu pekee atakayesema eti wanaenda kujitolea wakimaliza mikataba yao wanarudi majumbani mwao ilihali vyombo vyote vya ulinzi wanaenda kurecruit huko makambi ya jkt?

Na kama vijana wenye miaka 26+ ni wazee kulitumikia taifa lao basi serikali ione inawajibu wa kuwalipa pension kwa uzee wao na wasisimbuliwe na madeni yenu ya loan board?
 
Ni hapo tu ndo ujinga wa viongozi unapoweza kuonekana...kukwepa kwepa gharama za wajibu na majukumu ni ujinga...hvyo vigezo ni nonsense kabisa ....mwisho wa siku watakuja na vigezo ili upate kazi serikalini lazima uwe umepita JKT...!!! Nafas ya kwnda JKT ulipigwa chini sababu ya umri..haya ni moja ya maamuzi mabovu kabisa kuwa kutokea serikalini..matokeo yake ni umaskini wa kutupwa....kilichopo hapa ni kila mmoja kupigania roho yake kwa Msaada wa Mungu na si kutegemea hii serikali
 
mkuu yaani ukianzisha kabusiness tu hao washakuja na mahesabu ya kodi n.k
 
Back
Top Bottom