Kwanini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) haiwatambui wala kuwapa tuzo wanachama wake wanaokaa miaka mingi pasipo kuugua?

Umenisaidia sana kaka. Be blessed.
amekusaidia nini, wakati amekurupuka kupost upupu, kama umemwelewa huyu mtu basi na wewe akili zako hazipo sawa halafu unasema umefanya field NHIF.
Katika kukaa kwako NHIF ulishasikia wamekataa kulipa matibabu ya mtu kwa sababu aliumia kwa uzembe?
ninachojua WCF ndio wanaweza wasikulipe fidia kama umeumia kwa udhembe kazini
 
Ndio vizuri hela iende kwa wengine wenye uhitaji mkubwa wa kitabibu
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti, Kwanini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hawatoi tuzo kwa wanachama wanaokaa miaka mingi pasipo kuugua ili iwe motisha kwa wengine kuzidi kuzingatia kanuni za afya hivyo kukaa muda mrefu bila kuugua jambo litakaloiwezesha NHIF kupunguza kiwango cha fedha inacholipa kila mwezi kwenye vituo vya afya.

Kuna jamaa yangu ninakaa naye huku mtaani ni mtumishi wa kampuni moja ya mawasiliano ya simu pia ni mwanachama wa NHIF, anasema huu ni mwaka wa sita sasa hawajahi hata kumeza tu Paracetamol achilia mbali kuumwa malari. Kuna baadhi ya watu wanaumwa magonjwa sababu ya kutozingatia kanuni za msingi afya.

Watu kama hawa wanapaswa kupewa special recognition na NHIF ili wawe ni mfano wa kuigwa na wanachama wengine.

NHIF wanavyo vitega uchumi chungu nzima nimefanya nao kazi field attachment hivyo ninawajua vema.

Pesa za wanachama zinazungushwa hivyo wanapata sana faida

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

OMBI: NSSF nipeni pesa zangu mtaani maisha ni magumu sana.
 
nadhani umekurupuka mkuu.
Ungesoma tokea posti ya kwanza ya mtoa mada,
Hadi nilipokuja kutoa maelezo hayo usingeandika huu upuudhi ulioandika.
Ngoja nikukumbushe.
Mada kuu ilikuwa pesa za wanaochangia bima ya afya kama mtu hajaumwa kwanini asirudishiwe pesa yake au sehemu ya pesa yake? hiiyo ndio ilikuwa hoja ya kwanza mimi nikachangia kwenye thread namba 9.
Muanzisha thread akaulizwa swali kwenye post namba 10 kwamba watu hawawezi kudanganya?
Nikachangia kwenye post namba 11 kwamba kwenye bima ya afya wanaolipwa ni hospitali na sio indivuduals so mtu kama mtu kufoji sio rahisi labda hospitali.
Ndio mtoa post akaja na hoja kwamba kuna watu wanapatwa magonjwa kutokana na udhembe wao.
Mimi nikachangia kwamba kwenye bima ya afya hata ukipata ugonjwa kwa uzembe wanakutibu mradi wewe ni mwanachama na ndio nikatoa mfano kwamba unaweza ukasababisha ajali kutokana na udhembe wako na ukaumia.
Pamoja na kwamba ile ajali ulisababisha wewe kutokana na udhembe wako lakini kwa kuwa umeumia na unahitaji matibabu na una bima ya afya, Bima ya afya hawawezi kukataa kulipia matibabu yako eti kwa sababu uliumia kutokana na uzembe wako.
Sasa wewe sijui umekula maharagwe ya wapi unakurupuka kupost vitu usivyoelewa, kwa kifupi embu tuliza akili uelewe hoja zilizokuwa zinachangiwa nahisi umekurupuka uelewi hata tulichokuwa tunajadili
Samahani kiongozi... Nimekuelewa na weekend njema
 
Najua wenzetu kuna bima zinatoa incentive (Zawadi za fedha, punguzo la bei n.k) kwa wateja wanaofikisha lengo la mazoezi kwa muda Fulani wakitumia saa za mazoezi tunazovaa mikononi zilizounganishwa Na mifumo ya Kampuni ya bima husika. Sio wazo baya kuchochea tabia nzuri (good habits).
 
Asante sana mkuu....
 
Sio vema kuombea uugue ili kutumia bima, nadhani bima ya afya inaleta umaana kwa wewe kuwa na afya bora ili kumsaidia mgonjwa mwingine
Kuna kipindi nilikuwa na shirika moja, na bima ya afya ilikuwa AAR, sasa kuna mwaka AAR wakaamua kuwarejeshea watumishi wote ambao hswajaugua kwa kipindi kirefu, asilimia fulani ya fedha.. Ilikuwa kati ya elfu 50 mpaka 150000 hivi
 
Ila nasikia kuna fao kwa wastaafu na mzee wangh ni moja wapo ya wanufaika wa FAO hilo, unapewa kadi ya bima mstaafu na mwenza mpka mwisho wa uhai wako
wakati huo unakuwa hauchangii chochote
 
Ndio hii ni kwa wale waliochangia kwa.muda kama sikosei wa miaka 12 na kuendelea huyu akistaafu anapewa kadi ya uanachama ya maisha yeye mwenza wake tu.
Ikiwa haujafikisha miaka 12 ya kuchangia na unataka upewe kadi ya maisha wanakupigia mahesabu kiasi kilichobakia kufikia miaka 12 unawalipa halafu ndio wanakupa kadi ya maisha
 
Kitendo chao cha kusimamisha huduma ya bima ya Afya kwa vikundi vya wajasiliamali siwaelewi kabisa .sijui wanataka Rais kila akifika Muhimbili awe ana kuta watu wanadaiwa?.warudishieni wajasilia mali huduma ya bima ya vikundi
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti, Kwanini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hawatoi tuzo kwa wanachama wanaokaa miaka mingi pasipo kuugua ili iwe motisha kwa wengine kuzidi kuzingatia kanuni za afya hivyo kukaa muda mrefu bila kuugua jambo litakaloiwezesha NHIF kupunguza kiwango cha fedha inacholipa kila mwezi kwenye vituo vya afya.

Kuna jamaa yangu ninakaa naye huku mtaani ni mtumishi wa kampuni moja ya mawasiliano ya simu pia ni mwanachama wa NHIF, anasema huu ni mwaka wa sita sasa hawajahi hata kumeza tu Paracetamol achilia mbali kuumwa malari. Kuna baadhi ya watu wanaumwa magonjwa sababu ya kutozingatia kanuni za msingi afya.

Watu kama hawa wanapaswa kupewa special recognition na NHIF ili wawe ni mfano wa kuigwa na wanachama wengine.

NHIF wanavyo vitega uchumi chungu nzima nimefanya nao kazi field attachment hivyo ninawajua vema.

Pesa za wanachama zinazungushwa hivyo wanapata sana faida

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

OMBI: NSSF nipeni pesa zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Bima haifanyi kazi kwa jinsi unavyotaka kujiaminisha
 
Huyo jamaa yako kama anatumia mitishamba na tiba za asili NHIF huko haitumiki.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti, Kwanini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hawatoi tuzo kwa wanachama wanaokaa miaka mingi pasipo kuugua ili iwe motisha kwa wengine kuzidi kuzingatia kanuni za afya hivyo kukaa muda mrefu bila kuugua jambo litakaloiwezesha NHIF kupunguza kiwango cha fedha inacholipa kila mwezi kwenye vituo vya afya.

Kuna jamaa yangu ninakaa naye huku mtaani ni mtumishi wa kampuni moja ya mawasiliano ya simu pia ni mwanachama wa NHIF, anasema huu ni mwaka wa sita sasa hawajahi hata kumeza tu Paracetamol achilia mbali kuumwa malari. Kuna baadhi ya watu wanaumwa magonjwa sababu ya kutozingatia kanuni za msingi afya.

Watu kama hawa wanapaswa kupewa special recognition na NHIF ili wawe ni mfano wa kuigwa na wanachama wengine.

NHIF wanavyo vitega uchumi chungu nzima nimefanya nao kazi field attachment hivyo ninawajua vema.

Pesa za wanachama zinazungushwa hivyo wanapata sana faida

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

OMBI: NSSF nipeni pesa zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Una point kwa kiasi fulani.
Mfano, nafahamu baadhi ya mashirika ya bima za Afya ya binafsi kwa nchi zingine yana utararibu unaofanana na huo kidogo.
Mfano bima ya AAR Uganda au Kenya (mojawapo ya hizo nchi); Usipougua ndani ya kipindi cha miaka miwili, kuna bonus fulani wanakupa as a small percentage ya contribution zako. (5℅ or 10℅ hivi).
Mambo kama haya ya ubunifu usiyatarajie kwenye shirika la umma kama NHIF. Wengi wapo pale kusukuma tu siku, mwisho wa mwezi ufike, wapokee mishahara yao, lakini sio kufikiria vitu innovative vya aina hii kwa ajili ya shirika na watanzania.
Infantry Soldier
 
Back
Top Bottom