Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia.
Kwanini?
Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
Kwanini?
Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
nani? wachawi au?Ngoja waje
sawa nawew unaweza kutia nenoNasubili majibu
Kwani chuma ulete nayo huifahamu?Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia.
Kwanini?
Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
Chuma ulete.Juzi juzi walitaka kuiba umeme Tanesco wakaanguka uchi wa mdudu
Inawezekana wachawi hawana technolojia ya wizi bado.🙂🙂🙂
Chuma uleteUCHAWI WENYE NGUVU YA KUIBA KIMIUJIZA HAUPO
wanga wangeweza kuiba pesa izi benki zote zingeshafungwa zamani sanaAta kula wakikuta wanakula ila kuiba fedha kwao ndo ngumu na nawaahidi siku wakiipata iyo teknolojia mimi nitakuwa mchawi hata kwa kununua