johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,142
Hahahaa....... Bilionea yamekuwa hayo tena!Unajua hata chooni ni mahali maarufu sana kuliko hata jikoni.
Sababu ni kwamba ndipo taka taka zote za mwili hukaa.
The same case applies to Mtulia.
Kama hujui basi wewe ni zuzu! hujui kuwa mikono ya Mtulia ina damu ya Akwilina?Mbunge wa kinondoni ametokea kuwa maarufu sana katika siasa za nchi yetu hali iliyopelekea kuwavuruga kabisa Chadema na watoa nyaraka wengine. Ikumbukwe kuwa hata kule wilayani kwa mwenyekiti wa Chadema Hai katika jimbo la Siha alishinda Mollel aliyetokea Ukawa pia na kujiunga CCM lakini huyu haongelewi kabisa. Ndio najiuliza umaarufu wa Mtulia unatokana na nini?.......Je ni ukubwa wa chama alichotoka yaani Cuf au ni vile anatoka katika wilaya ya wajanja jijini Dsm?! Ni hayo tu, Pasaka njema!
Hata kuzimu utakuwa maarufuMbunge wa kinondoni ametokea kuwa maarufu sana katika siasa za nchi yetu hali iliyopelekea kuwavuruga kabisa Chadema na watoa nyaraka wengine. Ikumbukwe kuwa hata kule wilayani kwa mwenyekiti wa Chadema Hai katika jimbo la Siha alishinda Mollel aliyetokea Ukawa pia na kujiunga CCM lakini huyu haongelewi kabisa. Ndio najiuliza umaarufu wa Mtulia unatokana na nini?.......Je ni ukubwa wa chama alichotoka yaani Cuf au ni vile anatoka katika wilaya ya wajanja jijini Dsm?! Ni hayo tu, Pasaka njema!
Idd Amin alikuwa maarufu tangu akiwa bondia mtaani ndio maana aliingizwa jeshini kwa nguvu!Kama hujui basi wewe ni zuzu! hujui kuwa mikono ya Mtulia ina damu ya Akwilina?
Ni kama vile Idd Amin na Obote wote walikuwa viongozi Uganda, kwa nini Amin ni maarufu kuliko Obote?damu mikononi!
Huna kichwa wewe bali tikitimajiIdd Amin alikuwa maarufu tangu akiwa bondia mtaani ndio maana aliingizwa jeshini kwa nguvu!
Kawadanganye mbwiga ufipani!Huna kichwa wewe bali tikitimaji
Kwani uongo kuwa huna kichwa cha kufikiri bali una tikiti maji unaloliita kichwa? nina hakika wengi humu wanaweza niunga mkono kwa hilo.Kawadanganye mbwiga ufipani!
Nimekuambia kadanganyane na mbwiga wenzako " waliojazwa" keko huko.......kwa umaarufu wa alwatan Mtulia!Kwani uongo kuwa huna kichwa cha kufikiri bali una tikiti maji unaloliita kichwa? nina hakika wengi humu wanaweza niunga mkono kwa hilo.
Ndani ya Home of great thinker ni lazima uonyeshe tofauti katika kufikiri, na wewe umeshindwa kufanya hivyo unasukumwa na moyo badala ya akili.
Nimekuambia kadanganyane na mbwiga wenzako " waliojazwa" keko huko.......kwa umaarufu wa alwatan Mtulia!