Kwanini mbunge mteule Mtulia amekuwa maarufu sana kuliko mwenzie Mollel wa Siha?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
Mbunge wa kinondoni ametokea kuwa maarufu sana katika siasa za nchi yetu hali iliyopelekea kuwavuruga kabisa Chadema na watoa nyaraka wengine. Ikumbukwe kuwa hata kule wilayani kwa mwenyekiti wa Chadema Hai katika jimbo la Siha alishinda Mollel aliyetokea Ukawa pia na kujiunga CCM lakini huyu haongelewi kabisa. Ndio najiuliza umaarufu wa Mtulia unatokana na nini?.......Je ni ukubwa wa chama alichotoka yaani Cuf au ni vile anatoka katika wilaya ya wajanja jijini Dsm?! Ni hayo tu, Pasaka njema!
 
Kama hujui basi wewe ni zuzu! hujui kuwa mikono ya Mtulia ina damu ya Akwilina?
Ni kama vile Idd Amin na Obote wote walikuwa viongozi Uganda, kwa nini Amin ni maarufu kuliko Obote?damu mikononi!
 
Hata kuzimu utakuwa maarufu
 
Kama hujui basi wewe ni zuzu! hujui kuwa mikono ya Mtulia ina damu ya Akwilina?
Ni kama vile Idd Amin na Obote wote walikuwa viongozi Uganda, kwa nini Amin ni maarufu kuliko Obote?damu mikononi!
Idd Amin alikuwa maarufu tangu akiwa bondia mtaani ndio maana aliingizwa jeshini kwa nguvu!
 
Kwa sabab yupo eneo/jimbo maarufuu, kumbka hata Kinondoni ni maarufu kuliko Sina.

Hata DAB ni maarufu si kwa sababu yeye ni jeuri hapana ni kwa sabab yupo Dsm, angakuwa Lindi, Njombe, Mara n.k asingekuwa hvyo.
 
kuna tofauti kubwa sana ya kinondoni na siha ukianza hapo utaelewa
 
Mtulia watu wanamchukia sana hana umaarufu wowote .siunaona sahv anavyoumwa laana tu zinamsubua ..wewe ona ..Abdul Nondo alivyodisco..kisa mtulia .
 
Kwani uongo kuwa huna kichwa cha kufikiri bali una tikiti maji unaloliita kichwa? nina hakika wengi humu wanaweza niunga mkono kwa hilo.
Ndani ya Home of great thinker ni lazima uonyeshe tofauti katika kufikiri, na wewe umeshindwa kufanya hivyo unasukumwa na moyo badala ya akili.
Nimekuambia kadanganyane na mbwiga wenzako " waliojazwa" keko huko.......kwa umaarufu wa alwatan Mtulia!
 
Damu ya Akwilina imempa umaarufu lakini huko mbele ya safari itamtafuna sana, machozi ya wazazi na ndugu wa Kwilina hayatapotea bure.
 
Nimekuambia kadanganyane na mbwiga wenzako " waliojazwa" keko huko.......kwa umaarufu wa alwatan Mtulia!
tapatalk_1522137362213.jpeg

Wanaume wa aina yako hii huwa sibishani nao. We endelea kukuna nazi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom