Kwanini mbu haambukizi VVU?

Kwanini mbu haambukizi VVU?

V
Haiwezekan kwa sababu mbu hana receptor kwa ajili ya replication ya Virus,hivyo Basi wakiingia ndani ya mbu humegengwa kama chakula kingine ,
Vp kuhusu saluni, hasa hizi za huku mtaani kwetu kwa mahohehahe ambako ni bandika bandua mashine hazisafishwi wala kuwekewa dawa! Ina maana hizo mashine nazo hazina receptor au....?
 
MBU jike hunyonya damu ya binadamu na wanyama wengine lengo lao ikiwa ni Kutumia damu kuzalisha mayai lakini Pia inawezekana damu ile ikawa na Infectiom zingine but why huambukiza tu Malaria??? Sababu mbu anapokung'ata pale ndipo husababisha wale vimelea aliowabeba kupitia mdomo wake kuingia kwenye Damu yako lakini HAWEZI KUITEMA ILE DAMU ALIIYOIBEBA NA KUIINGIZA KWENYE MWILI WAKO.
Kwa nn saluni tunaambukizana mapunye na magonjwa mengine lakini si VVU? Au hizo mashine zina receptor maalum ya kuwauwa vvu mara tu wagusapo mashine ila si kwa magonjwa mengine.!!
 
Mzee baba nikajua uko vyema sector Ile
Kumbe na Huku
 
Hamna mkuu Virus huwa hai wanapokuwa ndani ya Cell sasa ukienda kunyoa sehemu ambapo ile mashine aliyonyolewa nayo mtu bado Ina DAMU ya mtu aliekatwa na ile mashine bhasi utapata ngoma Endapo ile damu iliyopo kwenye Mashine itafanikiwa Kuigusana na damu yako endapo Mashine itakukataaa...!!

Sasa chance ya kukatwa na mashine mpaka damu kubaki kwenye Mashine ni Ndogo sana.. Pia kinyozi kumkata mtu kwa mashine mpaka damu itoke na huna hata Vidonda kichwani bhasi huyo sio kinyozi so kwa jinsi hii ni ngumu sana kupata ukimwi kupitia Mashine ya kinyozi na wengine huifuta ile mashine na SPIRIT baada ya kumyoa mtu na Spirit lazima itaharibu cell hai zilizopo kwenye damu kama damu ipo kwenye mashine lakini MBA ni fungus yani wanaishi popote bila kutegemea iwepo wa cell hai za binadamu ndio maana unaweza pata Mba kwa urahisi lakini sio Ukimwi.
Kwa nn saluni tunaambukizana mapunye na magonjwa mengine lakini si VVU? Au hizo mashine zina receptor maalum ya kuwauwa vvu mara tu wagusapo mashine ila si kwa magonjwa mengine.!!
 
Haiwezekan kwa sababu mbu hana receptor kwa ajili ya replication ya Virus,hivyo Basi wakiingia ndani ya mbu humegengwa kama chakula kingine ,
KIWEMBE kinabeba ukimwi.

Kiwembe kina receptors za replication ya virusi?
 
huu uzi ume vamiwa na 'ma bush doctors' , msifanye masihara au mchezo wowote na UKIMWI,
 
ndio tunavyodanganywa hivi
Zipo sababu kadhaa :

1. Vimelea vya malaria ( Plasmodium ) vinapitia mabadiliko ya kimaumbile ndani ya mwili wa mbu kabla ya kuwa tayari kumwambukiza mtu mwingine, hii huchukua siku kadhaa kitu ambacho haiwezekani kwa VVU.

2. VVU haviwezi kuishi ndani ya mwili wa mbu hii ni kwa sababu mbu anapomaliza kunyonya damu ni lazima asafishe ile mirija yake (proboscis), la sivyo itaziba na atashindwa kula na hatimae kufa
 
haahahaaa uongo wa wazi kabisa
Haiwezekan kwa sababu mbu hana receptor kwa ajili ya replication ya Virus,hivyo Basi wakiingia ndani ya mbu humegengwa kama chakula kingine ,
 
Humu Jf zimeshawahi kushushwa nondo za maana kuhusu VVU na jamaa anayeitwa deception.

VVU ni myth tu, ni kirusi kinachosadikika ila hakijawahi kuonekana popote pale.

Wewe unashangaa kwa Mbu tu? Huko saluni za kiume ndo balaa lakini bado tunadunda.
Alishusha nondo za maana wapi tulimwambia achague mambo mawili tumtafutie pisi kali ambazo tunajua kabisa zina HIV na azitumii dawa achague mmoja apige kavu au ajichagulie yeye mwenyewe pisi yenye HIV sisi tutafanya kujilizisha je huyu mtu aliyetuletea ana HIV na yeye hana harafu wapumzike naye.
la pili tumchome kidogo na sindano yenye damu ya mwenye HIV ambaye atumii dawa

hivyo vyote aligoma

sasa tunakuomba na wewe shabiki yake unaweza kubariana na hili tuandae kipindi.
 
Humu Jf zimeshawahi kushushwa nondo za maana kuhusu VVU na jamaa anayeitwa deception.

VVU ni myth tu, ni kirusi kinachosadikika ila hakijawahi kuonekana popote pale.

Wewe unashangaa kwa Mbu tu? Huko saluni za kiume ndo balaa lakini bado tunadunda.
Nimetoka kusoma uzi muda si mrefu jamaa juzi kaomba ushaur ndug yake anaumwa ukimwi leo hii kafariki...afu mnasema myth tu...nenda kakamuane na mtu mwenye ukimwi afu utuletee mrejesho.
 
Nimetoka kusoma uzi muda si mrefu jamaa juzi kaomba ushaur ndug yake anaumwa ukimwi leo hii kafariki...afu mnasema myth tu...nenda kakamuane na mtu mwenye ukimwi afu utuletee mrejesho.
Acha woga watembezee rungu warembo...HIV ni hadithi tu.
 
Back
Top Bottom