Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

Kuanzia sasa kila mmoja wetu na amuite Dr. Freeman Mbowe. Hakika itakuwa na anastahili. Jamaa ni very clever!
 
Yes after 25 October really he deserves for that honour, let's wait until Ukawa wins.
 
hivi phd wanapewa na watu vilaza walio score ZERO(0) form6???????? kweli bongo nyosso. hivi unajua maana ya doctorate???? ukute wewe mwenyewe ni form4 failures ndo maana unampigia chapuo,
 
hivi phd wanapewa na watu vilaza walio score ZERO(0) form6???????? kweli bongo nyosso. hivi unajua maana ya doctorate???? ukute wewe mwenyewe ni form4 failures ndo maana unampigia chapuo,

gamba at work,form4 wapo fb huku labda kuanzia six lakn nao ni wachache mostly degree holders mkuu
 
Hazitolewi kirahisi kumbukeni. Lasivyo kila mtu angekuwa na yake kapata
 
Mh.mbowe ni kiongozi makini na ni greatel thinker wa hali ya juu.i respect
 



Dah,acha utan mkuu,dj huyu huyu mchumia tumbo apewe phd ya heshima?😂😂😂 haiwez tokea,labda phd ya uropokaji
 
yeye ni DJ wa night club, u-DR atauweza wapi? udj unamtosha
 
Atatunukiwa kutoka chuo cha Global Hotel Management kilichopo Mwananyamala.
 
Kiukweli kwa haya tunayoyaona sasa, Mbowe ndiye mpinzani wa kweli katika wanasiasa wote wa upinzani.
Hivyo basi, atunikiwe PhD ya heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…