Kwanini mayai ya kuku wa kisasa yana Demand kubwa na itaendelea hivyo hivyo

Kuna mtu anajua ni kwa nini nchi Kama SAUD ARABIA ndo wauzaji wa kubwa wa Mafuta na si Irani? au nchi zingine?

URUSI na SAUDIA wana sales kubwa sana na Demand ya mafuta yao ni kubwa mno na kuna sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu. Mimi ni mfugaji wa kuku aina zote Dodoma ila utokaji wa kuku wa kienyeji sio sawa na broiler na mayai yao pia.

Kuna kipindi mpaka huwa naagiza broiler kutoka Iringa na Morogoro kukidhi mahitaji ya wateja wangu.

Alichokisema chasha ni sahihi. Supply kubwa/rahisi ya kuku wazungu inasanabisha demand iwe kubwa pia.

Na kuna sababu kadhaa nikiwa kama mfugaji nafahamu kwanini iko hivo

Nitarudi.....
Huyo anajua nini? unaweza kuta hata Paka hafugi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anajua ni kwa nini nchi Kama SAUD ARABIA ndo wauzaji wa kubwa wa Mafuta na si Irani? au nchi zingine?

URUSI na SAUDIA wana sales kubwa sana na Demand ya mafuta yao ni kubwa mno na kuna sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nimeelewa vema desa, demand inapokuwa kubwa mzalishaji anaongeza uzalishaji pia, hivo kama alivosema mdau wa dodoma, vile supply ya mayai ya kisasa ni kubwa na demand yake itaendelea kuwa kubwa tofauti na mayai ya kienyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani lakini nachokiona hapa tayari mtoa mada ana majibu yake kwa ni ngumu kwa wachangiaji kueleweka
Ila kwa uelewa naona mambo mawili la kwanza ni upatikanaji wa uhakika wa mayai ya kienyeji na la pili ni ni bei
Mayai ya kisasa tsh. 6,000
Mayai ya kienyeji ths. 15,000
 
Chemical zipi? unaweza zitaja? au story za vijiweni?

Kwani Ng'ombe hawapati chemical? kila siku wana dungwa sindano.

Mboga za majani unazo kula unajua zinako limwa?

Unajua mboga za majani zinawekwa daw zipi?

Je matunda kama Tikikit unajua zinako limwa?

Je mbolea zinazo wekwa kwenye mazo kama mahindi je?

Hahaaa achana na story za vijiwe vya kahawa.

AU TAJA AINA YA CHEMICAL BASI MAKE ZINA MAJINA

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa point hii mkuu, nami nakuuunga mkono.
Watu wamekariri badala ya kuelewa, sawa na alivyosema Bob Marley, " brother you should know and not believe". Watu wamekariri kuwa kuku wa kisasa wana Kula madawa mengi bila kujiuliza kama alivyofanya hapo juu.
Natoa changamoto kama kuna .mfugaji wa kuku wa kienyeji ,zaidi ya 50 ambaye hawapi dawa kuku wake ajitokeze.
Vinginevyo Kwa asili kuku wa kienyeji hawezi kutaga mayai mengi kama wa kisasa au wale waliobatizwa jina la chotara. Hivyo mayai yake ni machache Hali inyopelekea bei kuwa juu.
Ajitokeze mtu athibitishe kisayansi kuwa mayai ya kisasa yanatofauti za kjmsingi na Yale ya kienyeji
 
Shida ni kuwa wabongo tupo sensitive sana inapokuja swala la bei.
Tanzania ni sehemu pekee ambayo unaweza uza hata bidhaa ambazo ni substandard kwa kigezo cha kuwa na bei rahisi tu na zikagombaniwa balaa ndio maana wachina hawataisha kariakoo.
 
Chemical zipi? unaweza zitaja? au story za vijiweni?

Kwani Ng'ombe hawapati chemical? kila siku wana dungwa sindano.

Mboga za majani unazo kula unajua zinako limwa?

Unajua mboga za majani zinawekwa daw zipi?

Je matunda kama Tikikit unajua zinako limwa?

Je mbolea zinazo wekwa kwenye mazo kama mahindi je?

Hahaaa achana na story za vijiwe vya kahawa.

AU TAJA AINA YA CHEMICAL BASI MAKE ZINA MAJINA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soma vizuri nilichoandika hakuna sehem nimetaja Chemical?

Labda kama umechanganya desa
 
Kwa point hii mkuu, nami nakuuunga mkono.
Watu wamekariri badala ya kuelewa, sawa na alivyosema Bob Marley, " brother you should know and not believe". Watu wamekariri kuwa kuku wa kisasa wana Kula madawa mengi bila kujiuliza kama alivyofanya hapo juu.
Natoa changamoto kama kuna .mfugaji wa kuku wa kienyeji ,zaidi ya 50 ambaye hawapi dawa kuku wake ajitokeze.
Vinginevyo Kwa asili kuku wa kienyeji hawezi kutaga mayai mengi kama wa kisasa au wale waliobatizwa jina la chotara. Hivyo mayai yake ni machache Hali inyopelekea bei kuwa juu.
Ajitokeze mtu athibitishe kisayansi kuwa mayai ya kisasa yanatofauti za kjmsingi na Yale ya kienyeji
story za vijiwe vya kahawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana yake, haya mambo saa zingine sio rahisi kuyajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli bana.

Nadharia ya uchumi haiendi hivyo

mwalimu wangu wa uchumi kilimo hakunifundisha hivyo.

supply inapokuwa kubwa demand inashuka na kinyume chake.

Wee kaa utafakari tu kipindi kile cha nyanya nyingiiiiiiii demand ilikuwa ndogo supply ikawa kubwa na kusababisha bei kushuka pia

Hiyo nadharia ya uchumi unayoorejea wakati huo inasema "other things remain constant" usilisahau hilo!
Kama unafahami uchumi pia kuna abnormal demand and supply curves na hapa mtoa mada ndipo alipojikita na yupo sahihi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom