Kwanini matokeo ya NBAA yanachlewa hivi?

Inasemekana wajumbe wa Bodi wamemaliza muda wao hvo hakuna wa kuidhinisha mpaka wateuliwe wajumbe wapya ndo wataidhinisha
Kwa hiyo wasipoteuliwa mpaka mwez wa pili ambayo ndo deadline ya kulipa ada hawatatoa matokeo? Ina maana hawakujua kama mda wa wajumbe uliisha? Sidhani kama hii ni sababu, wanasababu zao wanaficha ficha tu mambo. Either kutakua kuna shida kwenye usahihishaji au sababu ingine tofauti.
 
Mwenyekiti wa Board huteuliwa na raisi na wajumbe wengine huteuliwa na waziri; sasa sijui lawama zako umemwelekezea nani
 
Mie nimetoa taarifa ya niliyo yasikia sasa kama wewe una nyingine unazosema wanaficha ficha sema sio kulalamika una mlalamikia nani sasa?
 
KWAHIYO WAJUMBE WA BODI WAKITEULIWA MWEZI WA 6 FRESHI TU TUENDELEE KUSUBIRI?
Sheria zimewekwa na binadamu kwa hiyo paper ya may inaweza ikafanyika july as long as binadamu haohao waliotunga hizo sheria wana uwezo pia wa kupanga hivyo!!
 
Hii kitu imetuumiza sana vichwa, Ile misuli ya kupiga zile pepa za C3 wasichukulie masihara, WE NEED OUR RESULTS.
 
Mie nimetoa taarifa ya niliyo yasikia sasa kama wewe una nyingine unazosema wanaficha ficha sema sio kulalamika una mlalamikia nani sasa?
Utatoaje taarifa ambayo sio rasmi? Bodi walikuambia kua wajumbe wao muda wao uliisha? Punguza kiherehere cha kupublish taarifa za vijiweni..
 
Mwenyekiti wa Board huteuliwa na raisi na wajumbe wengine huteuliwa na waziri; sasa sijui lawama zako umemwelekezea nani
Kwa hiyo Raisi asipoteua mpaka mwezi wa tano fresh tu? Hujielewi pia huna data
 
navyofahamu hata kama wanachelewa lakini ndani ya januari lazima yatatolewa so katikati au mwisho wa mwezi huu
 
halaf hayo matokeo sio hata ya kukimbiliwa namna hiyo ingawa ni haki yenu....
 
Back
Top Bottom