Kwanini Matajiri, wanasiasa na watu mashuhuri huwa hawaanguki mapepo makanisani?

Nimecheka sana.

Samahani mkuu hivi kuna tofauti gani Kati ya mtume na Nabii.
wqmeshatuchanganya kila mtu anatoa maana yake.
siku zote tunajua mfalme ni mwanaume. Leo kuna mwanamama mtu wa gospel na yeye anajiita Mfalme sijui zamawadi.

ishakuwa fujo, ngoja tuwaite hivyohivyo wanavyotaka
 
[/QUOTE]
We una akili ndogo kama sisimizi bora unyamaze tu.
sisimizi anaakili kubwa kuliko watanzamia wengi tu. ndio maana mfalme sulemani anawaambia hata hao mitume na manabii '' jifunzeni kwa chungu/sisimizi''.
 
Hao wanaoanguka wameandaliwa kufanya hivyo kwa ajili ya pesa...

Hizo pesa zinatolewa na hao matajiri wenyewe sasa pesa yake mwenyewe alafu imuangushe au impe mapepo... haiwezekani

C: mahondaw
 
Kuna tuhumu (sina uhakika labda ni wivu tu) kuwa matajiri wengi/wanasiasa/watu mashuhuri wengi afrika hutumia nguvu za kiganga na kishirikina kujizatiti.

Ila jambo la ajabu tabaka hili la watu, kama ilivyokuwa enzi za masinagogi hukaa viti vya mbele karibu na mtume na nabii mpunga pepo. Kwa ajabu zaidi huwezi kuona hawa wakuu hata mmoja wapo anagaragara chini kwa kuangushwa na mapepo.

Maswali

Je mapepo yanaheshimu vyeo vya watu?
Je kuna mapepo ya kitajiri na ya kimasikini?
Je wanajiamini kwa sababu wanajua mitume wengi ni feki?
Je matajiri, watu mashuhuri na wanasiasa ni watu watakatifu sana wasioweza kusumbuliwa na vipepo?

wazoefu wa mambo ya kipepo karibuni mtoe mitiririsho yenu hapa.
Matajijiri wengi hawaendagi makanisa hayo ya kutolewa mapepo..
 
Mapepo ni hofu yako,hakuna mapepo kiumbe kinacho kufanya uonekane umeingiwa na mapepo ni kule kuwehuka kwako na hofu zako,lakini nakuhakikishia hakuna mapepo mapepo ni we mwenyewe unayatengeneza kichwani tu.hofu yako ndio inayo wapa umaarufu viongozi wako wa dini,mimi natukana kila siku hayo mapepo mbona hayanikuti?
Watakwambia nguvu uliotumia kuandika hapa ni nguvu ya kipepo
 
Kwa nini hao wachungaji na mitume wasiende kuponya watu mahospitalini wanaponya wagonjwa wa kanisani tu.
JIBU:Kanisani kuna wana wagonjwa fake ila hospitalini kuna wagonjwa wa ukweli
Kuna tuhumu (sina uhakika labda ni wivu tu) kuwa matajiri wengi/wanasiasa/watu mashuhuri wengi afrika hutumia nguvu za kiganga na kishirikina kujizatiti.

Ila jambo la ajabu tabaka hili la watu, kama ilivyokuwa enzi za masinagogi hukaa viti vya mbele karibu na mtume na nabii mpunga pepo. Kwa ajabu zaidi huwezi kuona hawa wakuu hata mmoja wapo anagaragara chini kwa kuangushwa na mapepo.

Maswali

Je mapepo yanaheshimu vyeo vya watu?
Je kuna mapepo ya kitajiri na ya kimasikini?
Je wanajiamini kwa sababu wanajua mitume wengi ni feki?
Je matajiri, watu mashuhuri na wanasiasa ni watu watakatifu sana wasioweza kusumbuliwa na vipepo?

wazoefu wa mambo ya kipepo karibuni mtoe mitiririsho yenu hapa.
 
Kuna tuhumu (sina uhakika labda ni wivu tu) kuwa matajiri wengi/wanasiasa/watu mashuhuri wengi afrika hutumia nguvu za kiganga na kishirikina kujizatiti.

Ila jambo la ajabu tabaka hili la watu, kama ilivyokuwa enzi za masinagogi hukaa viti vya mbele karibu na mtume na nabii mpunga pepo. Kwa ajabu zaidi huwezi kuona hawa wakuu hata mmoja wapo anagaragara chini kwa kuangushwa na mapepo.

Maswali

Je mapepo yanaheshimu vyeo vya watu?
Je kuna mapepo ya kitajiri na ya kimasikini?
Je wanajiamini kwa sababu wanajua mitume wengi ni feki?
Je matajiri, watu mashuhuri na wanasiasa ni watu watakatifu sana wasioweza kusumbuliwa na vipepo?

wazoefu wa mambo ya kipepo karibuni mtoe mitiririsho yenu hapa.

Pia ni kwanini mapepo huko kanisani na kwenye mikutano ya Injili huwa yanawakumba WANAWAKE tu???.😁
 
Wanaenda makanisa yenye upako?? Umewahi kwenda ecg?? Umewahi kwenda Christ Embasy?? Umewahi kwenda good news?? Fuatilia hayo makanisa utaona wanaanguka kama kawa

Ecg ni kanisa lenye upako??? Kyna
Wanaenda makanisa yenye upako?? Umewahi kwenda ecg?? Umewahi kwenda Christ Embasy?? Umewahi kwenda good news?? Fuatilia hayo makanisa utaona wanaanguka kama kawa

Ecg ni kanisa lenye upako?? Wazinzi na makahaba wamejaa mpaka madhabahuni wanaimba kwaya...cha ajabu nabii hawaoni
 
Unazungumzia makanisa haya ya lwakare mkuu??nahisi wao hawaanguki kwasababu ni vigumu kuwa corrupt
 
Mapepo ni hofu yako,hakuna mapepo kiumbe kinacho kufanya uonekane umeingiwa na mapepo ni kule kuwehuka kwako na hofu zako,lakini nakuhakikishia hakuna mapepo mapepo ni we mwenyewe unayatengeneza kichwani tu.hofu yako ndio inayo wapa umaarufu viongozi wako wa dini,mimi natukana kila siku hayo mapepo mbona hayanikuti?
Simama vizuri na Mungu, vinginevyo ipo siku utashangaa
 
Back
Top Bottom