Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 766
- 1,536
- Thread starter
- #61
HahahahHii 12 nmecheka sana
12)Akienda kanisani anasema hana kabisa sadaka lakini wakati huo huo anatoka na kununua maandalizi (ANAAMUA KU'INVEST CHOONI KULIKO KWENYE UFALME WA MUNGU)