Waulize ccmKwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo
nadhani ni kwasababu Chadema yenyewe ni chama cha kikristo na ndio maana viongozi wake wote wakuu ni wakristo pekee.Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo

Kama hawaonekani, wamefichwa kwenye box,, dini, Kazi, umri, kabila, wanajitajia yoyote tu.washahojiwa mashahidi wangapi mpaka sasa
Wengine sio wanachadema. Hata askari wakiulizwa dini husema dini yao ni hionadhani ni kwasababu Chadema yenyewe ni chama cha kikristo na ndio maana viongozi wake wote wakuu ni wakristo pekee.
hata Fr.Charles Kitima, katibu mkuu wa TEC ni miongoni mwa wanachama na viongozi wakuu wa chadema wanaosaidia kuongoza chama hicho kisayansi na kuhakikisha mabeberu na mabwenyenye yanapitisha ufadhili wao kupitia kanisa ikiwa kupenyeza pesa mojakwamoja chadema itakua changamoto.
Chadema inafadhiliwa kwa 100% na nchi moja ya kikristo kutoka huko magharibi![]()
Wanaulizwa dini zao mashahidiAaa aisee nyie wajinga mnapenda udini kishenzi..Yani nyie mnalishwa udini mnaingia kingi kizembe sana ili kutugawa.
MATAKO YENU
Kwa hivyo wamechagua hio?Kama hawaonekani, wamefichwa kwenye box,, dini, Kazi, umri, kabila, wanajitajia yoyote tu.
wanaotajwa na mtoa mada ni wale wa kificho au hata wale wasiofichwa?Kama hawaonekani, wamefichwa kwenye box,, dini, Kazi, umri, kabila, wanajitajia yoyote tu.
Wamepangwa mkuu.Kwa hivyo wamechagua hio?
sote ni mashahidi Chadema ni chama cha kidini gentleman, hakuna wa kubisha hilo.Wengine sio wanachadema. Hata askari wakiulizwa dini husema dini yao ni hio

Hizi dini zilikuwepo kabla babu wa babu zako kuja dunianiMimi nimezaliwa na kukulia Dar maisha yangu yote, na miaka ile tulisoma pamoja na kuishi pamoja wenyeji wa Dar, iwe muislamu au mkristo.
Ila sasa miaka ya karibuni tulivyoaanza kupokea walugaluga mjini, ndio nikaanza kusikia wanatambulisha watu kwa yule muislamu mara hao waislamu, hapo mambo yalivyoanza kubadilika, na sisi tukaona kama ndio wanataka maisha yaende hivyo tutawapokea kama walivyokuja.