[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.
1. Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2. Economic & military power.
Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.
Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
Hizo Nguvu Alizonazo Hao Wasiokua Waislam wanaraha ipi yakuishi?
Angalia VENEZUELA waislam Wale ?!
Rudi Kawaangalie Zimbabwe Waislam wale ?!
Rudi Angalia Anavyowaambia Muowane Watu Wenye Jinsia moja kawaambia waislam tu?
angalia Vikwazo anavyomtwanga Navyo RUSSIA na UCHINA yale nimataifa Yakiislam ?!
US hachukiwi Kwasababu Ya UDINI Anachukiwa Kwasababu yauonevu wake uliojaa ulimwenguni sio kwamataifa Yakiislam tu ama Yawaislam Ila Mpaka Hayo Yanayojiita Yakisekyula Angalia Mataifa Mangapi Yasiokua Yakiislam Yanavyoteseka Ulimwenguni Sababu Ya US au NORTH KOREA niwaislam wale ?!
Tatizo lenu mmemezeshwa propaganda baadhi ya watu wameamua kufungamana na UCHINA na RUSSIA kwan UCHINA ama RUSSIA nimataifa Yakiislam yale ?!
Tafakari upya juu ya US kiongozi Unahisi kama Itatokea Sasa hv US akawa sio SUPER POWER unahisi litatawala taifa ambalo nila KIISLAM ?!
Ukweli Nikwamba US nipangimizi Kwaustawi Wayeyote ambae atakua Haendi Sawa na anavyotaka yeye wala Sio Ustawi wamataifa ya KIISLAM kwani SAUDIA QATAR UAE Zimefika pale zilipo kwaushirikiano wanani nakwamsaada wanani kama sio hao hao US ama QATAR SAUDI ARABIA na UAE Sio mataifa Yakiislam ?!
Kama nikikwazo kwamaslahi Ya Mataifa Yakiislam QUBA niwaislam VENEZUELA niwaislam ZIMBABWE niwaislam AFRIKA KUSINI ilokua Chini Yamandela Niwalikua Waislam UKRAINE ilikua Yawaislam ?!
Kama Utaamua Kwenda Kinyume namatakwa ama maslahi ya US hatakama UK atageukwa tu hatakama CANADA atageukwa tu US linapokuja SUALA lamaslahi yake hua haangalii kama mnadini sawa ama vp atakunyoosha tu
Nb:-sidhanii kama US nitaifa linalofungamana na mrengo fulani wakidini sidhaniii
Sent using My COVID-19