Kwanini Marekani haikuingia vitani dhidi ya Bashar Al Asad

Ha ha haa .huko Iraq helkopta moja ya jeshi la marekani iliangushwa na mkulima mmoja tu kwa bunduki ya kawaida.ha haa.
 
Sijamuona hapa bi Nalendwa na muambata wa kijeshi toka Area 51 Luteni ze kokuyo

King na lee hata nashindwa kuelewa cha kujibu tukianza na hii heading kwanza.
Sasa kungekuwa na vita gani hapo kama sio uonevu..
Ni kama kuua nzi kwa granade.
Ndio maana kama mnakumbuka Trump alitaka kum assassinate Assad, kuondoa vikwazo. Sema ndo hivyo wakina Mattis wakamzuia..

ha ha haa,wamesepa wameona nguvu za mahasimu zinazidi kuongezeka.
 
well come madame,kwa hiyo yale makambi na masilaha ya US pale Syria yalikua mapambo? ha ha haa
 
Hahahahahaha mkuu Nalendwa kuanzia lini mmekuwa na huruma nyie watu
Somalia
Iraq
Libya
Vietnam
Cambodia
Congo
Angola
Korea ya kaskazini
Kote huko kuna mikono yenu na mlihusika kuwapiga mpaka raia wasiokuwa na hatia eti huruma mnafadhili waasi silaha wapigane wenyewe kwa wenyewe ili nyie muuze silaha zenu
 
Hakuna tu 90 br..ingia Google andika hyo tu 90 bla Shaka watakuletea mamb mengne. Kabs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cyo mazungmzo ya kwanza kukosekan kwa us hata Yale ya MINSK Alikosekana pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Zimbabwe hajapigwa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya line ya agreement sita kuondoa nuke in Quba1962 ilikwa Ni marekani kutoingia quba even after Soviet withdraw..so marekani not today not tomorrow haitawavamia wacuba coz atakutana na response kubwa ya Russia..
Wamarekani wanajaribu tu kupandkiza vibaraka Cuba ili waanguke lakini wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Tz haijaingia vitani dhidi ya wanamgambo wa Al Shabab
 
Kwa sababu TZ hua haiingilii mambo yasio muhusu.
Tofauti na marekani hupenda kuvamia nchi dhaifu na kuzitawala kinguvu kama wenyewe wanavojiita kua ni .
..........world's policeman.....
Kwanini Tz haijaingia vitani dhidi ya wanamgambo wa Al Shabab
 
Reactions: RTI
Uchambuzi mzuri. Nimependa sana.
 


Jamani kwani Mmarekani anatengeneza silaha peke yake hapa duniani?!
 
Jamani kwani Mmarekani anatengeneza silaha peke yake hapa duniani?!
Ukisikia Gaidi dunia hii basi muasisi ni usa na vibaraka wake tena linashambulia kwa mgongo wa Un huku likidai eti linaleta democracy
 
Ukisikia Gaidi dunia hii basi muasisi ni usa na vibaraka wake tena linashambulia kwa mgongo wa Un huku likidai eti linaleta democracy


Unaoongelea wale waliowasaidia KDF juzi kuua wale wapuuzi wanne, ama unaongelea wa wapi?!
 
Unaoongelea wale waliowasaidia KDF juzi kuua wale wapuuzi wanne, ama unaongelea wa wapi?!
Naongelea Gaidi lilivovamia Vietnam na kuua mamilioni ya raia Gaidi lolilovamia Afghanistan Gaidi lililovamia Libya Iraq Yemen Syria na kuua watu bila sababu za msingi ili mradi ubabe tu
 
kiufupi ni kuwa urusi tayari yupo juu kijeshi zaidi ya Us kinachombeba usa now ni propaganda tu
Urusi Yupo Juu Ya Marekani Kijeshi? Sidhani Kama Tayari Wana Uwezo Huo Sababu Bado Urusi Wako Kwenye Hatua Za Kujijenga Kiuchumi. Marekani Tayari Ni Nchi Yenye Uchumi Mkubwa Zaidi Duniani Na Hata Bajeti Yake Katika Maswala Ya Ulinzi Ni Kubwa Na Imeizidi Kwa Mbali Sana Ile Ya Urusi.

Marekani Kwa Sasa Wana-Spend Zaidi Ya 600 Billlion US Dollars Huku Ya Urusi Ikiwa Around 66 Billion US Dollars. Kwa Maana Hiyo Hata Aina Ya Teknolojia Katika Maswala Ya Kijeshi Aliyonayo Marekani Ni Bora Zaidi Kuliko Ya Urusi Ikiwemo Military Hardwares, Active Military Personnel n.k. Kwa Ujumla Wake.

Hapo Nimeelezea Bila Kuhusisha NUKES. Ukiingiza Kigezo Cha Nyuklia Pekee, Hapo Hakuna Mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…