Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,935
- 10,559
Sexer huwa unaumia sana urusi inaposifiwaPentagon haiwezi kukerwa na story za watu wanaojifariji kwa kitu ambacho hakipo, endeleeni kujifariji warusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sexer huwa unaumia sana urusi inaposifiwaPentagon haiwezi kukerwa na story za watu wanaojifariji kwa kitu ambacho hakipo, endeleeni kujifariji warusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amewakosha au ameandika hali halisi.wewe Sexer vipi wewe ?au wewe tupe story ya kweli iliyo kinyume na hiyo inayohusu Syria ili uwakoshe waamerika wa jf
Unatutisha ndugu mtangazaji.Kwa faida ya watazamaji Ni kwamba after modernization tu 160 inaeza kurusha nuclear missiles popote duniani ikiwa either Moscow , St Petersburg ama kazan.
km 7000
Sent using Jamii Forums mobile app
hi ligi hii ni ya kufa mtu, ha ha haaNa amewakera sana maafisa wa pentagon walioko lufiji na viunga vyake
ha ha haa,wamesepa wameona nguvu za mahasimu zinazidi kuongezeka.
Mkuu dunia na amani ni mafuta na majiUnapenda ubabe,sio vizuri hivyo.amani .
Pia kuna TU-22M nayo ni hatari sanaaaah wap sema hyo TU-23 na BUK-23 hazipo ila kuna TU-90 pia kuna TU-160 ambayo inauwezo wa kubeba makombora ya nuklia pia inaweza kufika popote pale duniani bila shida yoyote
hi TU-160 ndio iliyotoka urusi mpaka venazuela bila shida wala kuongezwa wese
Sent using Jamii Forums mobile app
Ɓuk ni mfumo wa kutungua ndege na makombora kutoka Urusi,ni mfumo hatari sana
Sexer huwa unaumia sana urusi inaposifiwa
Bingwa wa propaganda ni usa huwa anajisifu sana kupita kawaidaUrusi haijawahi sifiwa bali huwa inajisifu. Si unaona hata kwenye hii thread jinsi warusi mnavyojisifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amewakosha au ameandi hali halisi.wewe Sexer vipi wewe ?au wewe tupe story ya kweli iliyo kinyume na hiyoinayohusu Syria ili uwakoshe waamerika wa jf
US haihitaji kujisifu, ni Kama maji, usipoyanywa utayaogaBingwa wa propaganda ni usa huwa anajisifu sana kupita kawaida
Eti mtangazaji dahUnatutisha ndugu mtangazaji.
kitendo cha kuingia syria na kujenga kambi na kusoma game kwanza bila ya nato kugundua kuwa tayari urusi kapiga zimbo pande hizo umekichukuliaje?Aisee, Mrussi ni hatari
Kwa mataifa ya dunia ya 7 ndiyo tunaona usa ni kama maji ila kwa mataifa ya wenye akili usa ni wa kawaida sana
BUK-23 ndio hii mkuu?Ɓuk ni mfumo wa kutungua ndege na makombora kutoka Urusi,ni mfumo hatari sana View attachment 997082
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mataifa ya dunia ya 7 ndiyo tunaona usa ni kama maji ila kwa mataifa ya wenye akili usa ni wa kawaida sana