Kwanini Marekani haikuingia vitani dhidi ya Bashar Al Asad

Nimeipenda hii story nitarudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haa,nato hawajachapwa.hata hivyo mie naona kama ma marekani hayamuogopi mrusi ila pengine yanaangalia kuna faida gani kupigana na urusi kwa sasa,kisa ni kuwatetea waasi wa syria,ndio yapoteze rasilimali na rasilimaliwatu wao.?
Marekani na Israel hawako radhi kusamehe hata kijiji kisalimike middle East,sema anaogopa yaliyomkuta Iraq na Trump nae Kama sasa hivi haeleweki mamluki mtukufu,future ya Syria ni nono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ni mtaalamu wa haya mambo, hongera mkuu.
aaah wap sema hyo TU-23 na BUK-23 hazipo ila kuna TU-90 pia kuna TU-160 ambayo inauwezo wa kubeba makombora ya nuklia pia inaweza kufika popote pale duniani bila shida yoyote

hi TU-160 ndio iliyotoka urusi mpaka venazuela bila shida wala kuongezwa wese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha sometimes sio lazima mpigane vita ya Bunduki ata Propaganda tu inaweza ikawa ni vita pia. Marekani ana propaganda nyingi sana

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Ok kwa kuwa umeongea fact sina sababu ya kukubishia ,maana hadi saa hizi,Wanaotamba Syria ni Urusi,Irani na Syria wenyewe.US,UK na FR wameshafukuzwa kitambo.kwa hilo sikubishii.Hata mazungumzo ya amani ya Syria YANAONGOZWA na Urusi akiwashirikisha Waasi wa Syria,Syria wenyewe,Turky,Iran, na pengine Irak bila Marekani,na hii wataalamu wanasema ni mara ya kwanza kwa marekani kutoshiriki mazungumzo makubwa na muhimu namna hiyo Duniani ,sio kwamba kapenda bali katengwa.
Ni maoni yangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…