nyongeza: unaempenda hakupendi & anaekupenda humpendiYule ambaye una malengo naye ndo anaye sumbuwa akili yako na kukupa stress kila kukicha
Na yule ambaye huna malengo naye ndo mwenye mapenzi ya kweli kwako
Kama wewe humpendi utamtesa tu mtoto wa watu.Nakusihi weka malengo kwa huyo ambaye unaona huna malengo nae. Atakufaa zaidi kuliko kufosi mapenz
ni kweli yafaa kupanda mbegu penye rutuba! Umeshauri vyema[emoji120]Nakusihi weka malengo kwa huyo ambaye unaona huna malengo nae. Atakufaa zaidi kuliko kufosi mapenz
Utamtesaje sasaKama wewe humpendi utamtesa tu mtoto wa watu.
Hutaiona thamani yake kwako. Na atajua tu kua hapendwi.
Ni bora umuache usije jitaftia balaa
Kama humpendi kuna mambo huwezi mfanyia mkuu, na hapo michepuko inakua unkwepable.Utamtesaje sasa