Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
good businessmen lol!Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
umeshapata jibu?Subiri nifanye uchunguzi,,hapa kwetu kweli wanatumia DELL.