Kwanini maofisi mengi hutumia computer za DELL?

Kwanini maofisi mengi hutumia computer za DELL?

Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?

acha kutafuta uchokozi kaka ina maana mnataka kutukaba kila mahali
 
ila maeple ndio mpango mzima hata kirusihakinusi, Dell wanauzia jina ila wanajitahidi quality na spcs zipo
 
Kweli kabisa ni kuwa dell ni kampuni nzuri.ila kuna sababu ambayo inafanya isipendwesana
1.kwanza vinakilishi vya dell vinahitaji umeme mwingi ilikufanya kazi.wakati hapa nchini umeme ni tatizo
2.spear za dell hazipatikani kiulahis na ukipata ni ghalama kubwa.
Nk.kampun km hp kwanza haitaji umeme mwingi pili hata vifaa vyake vinapatikana kiulahis na kwa bei zake ni za kawaida

.
 
Kwahiyo kama kazi yako ni IT na computer ndio muda wote uwe JF?
Hivi hujawahi ona mtu kazi yake ni ku track magari kwa kutumia internet na sio kila mara anatrack hayo magari?unadhani muda mwingine atatumia kufanya nini na internet anayo?

Na wewe use ur common sense, inawezekana vipi ukaweza kumuona mtu yuko JF muda mwingi kama na wewe huwa haupo online?

Nimekupata mr Great thinker..Lakn kumbuka...1 + 4 = 5,0+ 5 =5 na 2+ 3 =5..
 
Kama ni reserach umefanya..........ni kweli ofisi nyingi wanatumia DELL,
but you know what DELL is a USA brand, na kama ujuavyo wale wenzetu wanapumua uchumi, wanavuta uchumi, wanakula uchumi, wanapigia kura uchumi, ni uchumi, ni uchumi, ni uchumi; ni kama brazil na soka lao. Kwa hio wanamake sure that all necessary accessories are easily accesible and are reliable, and above all the machine is so friendly to a user. So wanajitahidi sana kuwa na strong marketing strategies. Hio ni one of the sababu.
 
Dell its cheap,na sisi kama kawaida yetu ya ku consider quantity,tunakimbilia huko pamoja na 10% ya Mdosi jioni mwamba mimi kwenye kiti kirefu,me i prefer LENOVO.
 
muda mwingine ni mazoea tu....

Hivi jamani ni kweli hizi"Dell Inspiron" zimetengenezwa na DELL au au kuna ujanja-ujanja mimi sidhani kama dell wanaweza kutengeneza kompyuta mbovu kama hizi :shock: kutakuwa kuna kitu hapa...
 
zitakuwa zimetengenezwa na acer heheheeee kiddin
 
salaam wana jf, ningeomba wadau mnijuze hizi desktop zilizopo kwenye maofisi mengi kama tra, cpu yake iko slim sana na inafugwa nyuma ya monitor ni make gani, specification zake na kama kuna anayejua bei yake kwa set nzima,nina ofisi yenye nafasi ndogo sana,natanguliza shukurani!!!!!
 
Na wanampango wakuacha kutengeneza Desktop na laptop na kujikita zaidi kwenye SERVERS kama walivyofanya IBM enzi hizo.
 
Mimi natumia MAC PRO ni kitu cha uhakika namshangaa C6 kutumia DELL wakati anadeal na graphics
 
Last edited by a moderator:
Mimi natumia MAC PRO ni kitu cha uhakika namshangaa C6 kutumia DELL wakati anadeal na graphics

monitor ndio natumia dell maana nimeapata screen kubwa kwa bei affordable, ila cpu uwa natumia HP zenye specs za uhakika, my dream machine imac, ila sasa kibongo bongo bei zake balaa, ila siku si nyingi ntahamia kwenye apple mazima usihofu mama toto
 
hahaha poa mkuu
 
Dell ni komputa nzuri sana na spea zake ziko very cheap kuliko kompyuta nyingine
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
 
Naona wote mmesahau part ya Sales Department....unaweza kuwa na bonge la product lakini department hii kama imelala basi fahamu na bidhaa zako zitabaki kwenye shelves!
 
Mimi natumia MAC PRO ni kitu cha uhakika namshangaa C6 kutumia DELL wakati anadeal na graphics
Personally dell hua naiutaga alternative ya mac coz yenyewe unatumia windows kutofautisha na ios ya mac..specs zake kwa mbali zinafanana na za mac na hata kwa motion graphics iko fresh..kama huwezi afford mac..ni kama bbm na whatsapp tu vile
 
Last edited by a moderator:
Personally dell hua naiutaga alternative ya mac coz yenyewe unatumia windows kutofautisha na ios ya mac..specs zake kwa mbali zinafanana na za mac na hata kwa motion graphics iko fresh..kama huwezi afford mac..ni kama bbm na whatsapp tu vile
Os ya Mac kwenye graphics na aniamation windows haioni ndani kabisa
 
Back
Top Bottom