Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,268
- 4,583
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
Swali lako Bujibuji ni gumu kulijibu kama wageni wasipoelewa kwa nini idadi kubwa ya magari Tanzania ni TOYOTA; labda jibu rahisi ni kuwa DELL waliwahi kuingia soko la Tanzania mapema na kampuni nyingine kama COMPAQ zilikuja kununuliwa zikatoka kwenye soko
Last edited by a moderator: