Hivi karibuni kumetokea hali ya sintofahamu inayoigusa familia ya rais kuhusu mtoto kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ili hali hana sifa.
Mengi yamesemwa lakini mpaka sasa kuna mamlaka zipo na zilipaswa kuweka mambo vizuri ili familia ya rais isiendelee kudhalilika lakini wapo kimya wakiacha tuhuma hizo ziendelee kusambaa na kuharibu taswira ya familia ya rais wetu mpendwa.
Sote tunatambua kuwa hakuna jambo baya kama kughushi vyeti na elimu na ndio suala ambalo rais wa wetu analipigania kuhakikisha tunapata wasomi wazuri wenye uwezo, lakini pia pamoja kwamba suala hili linaidhalilisha familia ya mkuu wa nchi linaweza pia kutumiwa kisiasa kwa nchi za wenzetu zenye demokrasia hili hupelekea rais kujiuzulu, tukumbuke kuwa tuhuma zikiachwa hata kama ni za uongo bila kutolewa ufafanuzi basi jamii huchukulia ni kweli.
Tume ya vyuo vikuu (TCU), Ikulu, NACTE, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), chuo alichosoma cheti na diploma mwanafunzi Jesca mpo wapi mnaiacha familia ya rais idhalilike mmeshindwa nini kujitokeza kulitolea ufanunuzi hili jambo mnaijengea taswira mbaya familia ya rais.