Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Nilichomsikia Manji akizungumza ni kwa nn Makonda hajamfuata Pengo ama mashehe kwa ajili ya kumshauri juu ya jambo hili na si kuwa alimtaja kwa kumhusisha na madawa ya kulevya.
Labda kama una lako binafsi na Pengo.
Lakini pia, Nani kakuambia orodha ya wanaohitajika imekamilishwa?
Kuwa na subira na uache chuki binafsi
 
Pengo sio mungu ni binadamu mwenye mapungufu yake pia,na ndo maana yuko kimya sasa wakati kipindi cha mwinyi na jk alikuwa hashikiki kwa matamko,

kila mtu anajua kuna kipindi kanisa catolic lilikuwa na unholy alliance kati yake na CIA, na Mafia na walifanya biashara ya drugs na vatican bank ilifanya kazi ya kutakatisha hiyo pesa ya madawa na hiyo pesa ilitumika kufund vita dhidi ya ukomunist,

mafia walikuwa wanatafuta madawa,CIA wanaprovide logistic na security na kisha vatican wanafanya money laundry
 
Wakati wote niliona upo reasonable; but after this? You must be crazy!!

Labda umegoma kunielewa
nimesema siamini Pengo anaweza husika
but kuhusishwa amehusishwa na yeye mwenyewe amewahi zungumzia hilo

Sasa kigezo cha Makonda ni hiko..watu waliowahi kuhusishwa
ndo swali linakuja hapa...mbona huu hakumuita?

Kama jibu hi uzushi na kumchafua....the same can be said kwa wengine
unless uniambie hao wengine wewe una ushahidi..
 
Pengo afanye biashara ana shida ipi wakati hana familia na kila anchotaka anapewa kumbuka yeye ana uraia wa Vatican pia
 


Wewe hii hukuiona?

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
 


Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
 


Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…