Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Mmh hiyo level ya Pengo ni ingine kabisa aiseehh!
Kwani level ya Pengo ipoje na wengine..?? Au kwa kuwa mkuu wa kaya ni mkatoliki..??

Hufikirii kwmb hyo mentality ya kuona kwamba huyu level yake ni kubwa na ya juu, ndo rahisi kwake kufanya biashara haramu..??

Lazima tuamini kwamba Pengo nae ni binadamu kma sisi sote humu, na wala sio Mungu kwamba yupo extraordinary perfect. Akili yake inaweza kukengeuka wakati wowote pia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…