Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,670
- 167,723
Weeeee kumbe???!!! Dah sijawahi pata hata sh 100 nyingi sana ni 67.😂😂😂😂 Fanya miamala dear. Mimi huwa sio haba, Mara ya mwisho kagawio nilienda kukata kitambaa nkashona kagauni kangu freshh. IIa hela ya mashono haikutoka hapo😂😂😂
Basi hapo ukute nimeamka usingizini nakutana na TIGOPESA umepokea nasmileee.....mara gawio sh 23 nasonya.