Ndugu zangu..uchumi wa makampuni ya simu Tanzania yanatokona na wateja wao amabo ni watanzania. Lakini tangia 2010 baada ya sherai ya EPICA kupitishwa na benki ili yauze 25% ya hisa zao, makampuni haya hayakuanza kuuza hisa hizo na badala yake yamekuwa yakitumia baadhi ya wabunge kama Bashe kupinga hatua hiyo. Je nikwanini makampuni haya hayataki kuuza hisa kwa watanzania wakati ndiyo njia bora ya inclusive economy na pia ni njia ya kupata mtaji bila riba. Asanteni