Ni vitu vya kugoogle tu.Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan, Pakistan,Afriganistan na Tujikistan na zinginezo....kuna maana yeyote ya majina hayo?
Kwanza tukusahihishe ulipotaja nchi ni za kiarabu, hujui utawaaminisha suala lisilo la kweli. Pia jibu ushapewa kabla sijacomment.Umekuja na hoja nyingine,pita kushoto au soma uelewe maana ya baadhi.
Ni kwa sababu "STAN" ni neno la ki-Persia(Iran-Uajemi lenye kumaanisha "NCHI" au "ARDHI". Zamani Persia ilikuwa na ufalme mkubwa na wenye nguvu ulioacha tamaduni na lugha eneo kubwa walilotawala ikiwemo hizo "Stans". Kwa hiyo kila nchi waliyoitawala waliipa jina kwa maana ya kabila lililoishi eneo hilo na kimalizia na stan.Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan, Pakistan,Afriganistan na Tujikistan na zinginezo....kuna maana yeyote ya majina hayo?
Sijasoma comments zote likely ushapata jibu ila jibu ni ....Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan, Pakistan,Afriganistan na Tujikistan na zinginezo....kuna maana yeyote ya majina hayo?