Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
wanadai kiswahili hakijitoshelezi na kinarefusha jina :confused3:
Tatizo ni elimu ndogo na kuwa na ushamba fulani hivi
wa kufikiri kila mtanzaniaana mawazo ya watu wa magomeni magomeni
ambao kwa kuongea maneno mawili ya kiingereza ina maana ya kuendelea....
Stpid mentality....thats it..........
wanadai ni katika kutafuta soko la nje zaidi na kuwa kimataifa zaidi, na ndio maana wanaweke subtitle za kiingereza
balantanda utakuwa umeniiga mimi.....! mimi ni mpenzi mzuri wa kiswahil,afrika,tanzania,utamadun wetu,nyimbo zetu,mashairi yetu,ngoma zetu n.k.!Hawana lolote......Ni ujinga/kutokujiamini na utumwa wa Kiingereza vinawasumbua...............Mimi huwa siangalii sinema/filamu zao