Kwanini majaji wanajiuzulu kwa Rais?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,269
33,872
Naitafuta mantiki ya majaji wanaojiuzulu kabla ya wakati wao wa kustaafu kufika kupeleka barua zao za kusudio la kujiuzulu kwa Rais. Ni kwa nini majaji hao wasipeleke barua hizo kwa Jaji Mkuu ambaye ndiye Mkuu wa Mhimili wao badala yake wanapeleka kwa rais?

Mbona yule Mbunge aliyeteuliwa na Rais (Abdalah Possi) alipotaka kujiuzulu kusudio lake hakulipeleka kwa Rais badala yake alilipeleka bungeni? Ni kwa nini basi na hawa majaji wasipeleke kusudio lao kwa Jaji Mkuu na kuridhiwa naye kujiuzulu kisha mamlaka ya uteuzi (Rais) ikajulishwa kwamba kuna Jaji kajiuzulu? Hivi hii si mihimili miwili tofauti inayojitegemea?

Petro E. Mselewa
 
majaji wanaojiuzulu ni waliopokea pesa za rushwaaa...

wanakimbia wenyewe... tanzania mpya haitaki wala rushwa
 
Naitafuta mantiki ya majaji wanaojiuzulu kabla ya wakati wao wa kustaafu kufika kupeleka barua zao za kusudio la kujiuzulu kwa Rais. Ni kwa nini majaji hao wasipeleke barua hizo kwa Jaji Mkuu ambaye ndiye Mkuu wa Mhimili wao badala yake wanapeleka kwa rais?

Mbona yule Mbunge aliyeteuliwa na Rais (Abdalah Possi) alipotaka kujiuzulu kusudio lake hakulipeleka kwa Rais badala yake alilipeleka bungeni? Ni kwa nini basi na hawa majaji wasipeleke kusudio lao kwa Jaji Mkuu na kuridhiwa naye kujiuzulu kisha mamlaka ya uteuzi (Rais) ikajulishwa kwamba kuna Jaji kajiuzulu? Hivi hii si mihimili miwili tofauti inayojitegemea?

Petro E. Mselewa

Kwa sababu Raisi wa JMTZ ndo kila kitu, na yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
Na ndo maana hakuna anayeweza kuanzisha bifu na Raisi wa JMTZ ndani ya ardhi ya JMTZ na skashinda, Raisi ndo Alfa na Omega wa Nchi!
Raisi wa JMTZ anatawala kwa niaba ya Mungu!
 
Wewe ukitaka kuacha kazi utamuandikia mkuu wa kitengo chako au utamuandikia aliye kuajri?na hata ukimuandikia mkuu wa kitengo itakuwa ni copy tuu

Wanamuandikia Rais kwakuwa yeye ndio ana wateaua na ndiye pekee anaweza kuridhia kujiuzulu kwao...judge mkuu hana mamlaka ya kuridhia au kuto kuridhia kujiuzulu kwa judge.

Utaratibu wa kujiuzulu kwa majudge ni tofauti na utaratibu wa kujiuzulu kwa ubunge..
 
Naitafuta mantiki ya majaji wanaojiuzulu kabla ya wakati wao wa kustaafu kufika kupeleka barua zao za kusudio la kujiuzulu kwa Rais. Ni kwa nini majaji hao wasipeleke barua hizo kwa Jaji Mkuu ambaye ndiye Mkuu wa Mhimili wao badala yake wanapeleka kwa rais?

Mbona yule Mbunge aliyeteuliwa na Rais (Abdalah Possi) alipotaka kujiuzulu kusudio lake hakulipeleka kwa Rais badala yake alilipeleka bungeni? Ni kwa nini basi na hawa majaji wasipeleke kusudio lao kwa Jaji Mkuu na kuridhiwa naye kujiuzulu kisha mamlaka ya uteuzi (Rais) ikajulishwa kwamba kuna Jaji kajiuzulu? Hivi hii si mihimili miwili tofauti inayojitegemea?

Petro E. Mselewa
Kwanza hao majajiwengine wanatumbuliwa. Rais anawaomba wajiuzulu kwa sababu akiamuakuwatumbua mwenyewe, mchakatowakeni mrefu, unapitia kwa majajiwenzao,halafu utaleta picha ya rais kuingilia mahakama.

Yule Jaji Ruhangisa kaombwa ajiuzulukwa issue za Escrow.

Kwanini wanajiuzulu kwa rais na wabunge wanamuandikia Spika?

Kwa sababu rais anateua majaji, hateui wabunge wa kuchaguliwa. Hata mbunge wa kuteuliwa akitaka kujiuzulu atamuandikia barua Spika, kwa kuwa licha ya kuteuliwa na rais, amekula kiapo kutokakwa Spika.
 
Kwa sababu Raisi wa JMTZ ndo kila kitu, na yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
Na ndo maana hakuna anayeweza kuanzisha bifu na Raisi wa JMTZ ndani ya ardhi ya JMTZ na skashinda, Raisi ndo Alfa na Omega wa Nchi!
Raisi wa JMTZ anatawala kwa niaba ya Mungu!
Kwa niaba ya Mungu gani au lumumba?
 
Back
Top Bottom