Kwanini maiti nyingi za watu maarufu zinahifadhiwa Lugalo?

Na wewe ukifa ukahifadhiwe lugalo basi

kIongOzI Wa BaaDae
 
View attachment 1089642
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?

Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila

Why LUGALO???????
Nadhani ni kwa sababu ya ulinzi, maiti zina tabia ya kutoroka sana, sasa kwa pale barracks kidogo maiti inapata wakati mgumu kutoroka haswa ikipata picha mateso yale mateso itakayopata pindi itakapokamatwa ikiwa inatoroka
 
Usilolijua uliza kwanza uambiwe. Usiaminishe watu ujinga. Ulichoongea ni uongo mtupu. Lugalo hospital ni ya jeshi lakini wafanyakazi hata raia wapo tena Specialties. Nenda idara ya macho, nenda ECG, nenda X-ray zipo nyingi tu. Kwa maono yangu na ilivyo ni hivi:
Sehemu yeyote duniani ukianzia USA, UK , Russia nk. Hospitali za jeshi ndizo zinakuwa the last resort... For everything na kikubwa ni usalama (security) hata leo Rais akafariki atapelekwa Lugalo. Lugalo ilitakiwa kuwa na hadhi zaidi ya muhimbili ama kuwa sawa Lakini inakuwa zaidi kwa issue ya Security.
Security ya nini?,ya Maiti au?
 
Nadhani ni kwa sababu ya ulinzi, maiti zina tabia ya kutoroka sana, sasa kwa pale barracks kidogo maiti inapata wakati mgumu kutoroka haswa ikipata picha mateso yale mateso itakayopata pindi itakapokamatwa ikiwa inatoroka
Aisee! We jamaa
Au ndio maana pia maeneo ya makaburi yanawekwa fensi (fence)??

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Back
Top Bottom