Kwanini maiti nyingi za watu maarufu zinahifadhiwa Lugalo?

  • Thread starter Kanungila Karim
  • Start date
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
5,502
Points
2,000
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
5,502 2,000
Lugalo ndio sehemu ambapo maiti hupelekwa kwa ajili ya uchunguzi wa kina.............watu ambao wameuawa kwa "mipango" ya serikali hupelekwa na hata watu maarufu wanaosaidikiwa kuuwa,ndugu wanaweza kuomba wapelekwe Lugalo ama serikali ikashawishi wapelekwe kule.
Kwa nini Lugalo?
Kule wafanyakazi wote wa afya sio raia ni wanajeshi.....sasa ile hali ya kutunza privacy....."kufunika mambo"kama kifo kilipangwa na wenyewe serikali e.g Amina Chifupa death,hufanikishwa.....au hata Kama ameuawa ki kawaida ila ni mtu maarufu,usiri unakuwepo kwa kiwango kikubwa.......kumbuka matabibu wengi wanaohusika na huduma hizo ni cardet officers na wengi kuanzia ngazi ya "captain" ,kulingana na mafunzo na viapo vyao ni ngumu kutoa Siri/kuzungumza chochote kuhusiana na uchunguzi............kumbuka hata waandishi wa habari hawana haki ya kudemand habari za jeshi labda waitwe .......tofauti na hospitali za umma.
Uongo mtupu na acha uchochezi.
Lugalo Military Mortuary iko wazi kwa mtu yeyote na hawana urasimu.

Jinyi msiojua kuwa jeshi ni la wananchi ndio mnaeneza habari za UONGO.

Binafdi nawashukuru sana madktati navwahudumu Lugslo Genersl Militsry Hodpital pale mtoto wangu nilimpelekavhspo akiwa mahututi wala haongei na infact tulishakata tamaa.

Ndani ya mwezi mmoja walimshughulikia tenavkwabupendo mpaka akapona.

Nasikitika sana nikiona mtu anatia uongo wa dhahiri na psipo na ukweli wowote.

Baba yangu mzazi alihudumiwa hapo mortuary siku alipotutoka.

Si vizuri kueneza UONGO.
 
stella1975

stella1975

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
311
Points
500
stella1975

stella1975

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
311 500
Sasa tatzo ni kusema wafanyakazi wote ni wanajeshi au??? Wewe ndo mjinga maana mtu huwezi kuwa Doctor au mfanyakazi wa jeshi na sio mwanajeshi NEVER...NEVER... Vingine vyote ni kweli japo kuna wataalamu wa postmoterm hata Muhimbili lakini ukitaka Kufanya kazi jeshi lazima uwe Mwanajeshi..
Acha uongo wewe sio kila mfanyakazi huko jeshini ni mwanajeshi Sema hujui tu, tuulize sisi ambao tunakaaa jeshini tumesoma jeshini tumekulia jeshini na Ndugu zetu wengi ni wanajeshi, huyo aliekuambia hapo juu ni mzoefu usilazimishe usilolijua na usipende kutetea kihisia wapo manes raia, wapo wahasibu raia Na madaktari raia Na wengne raia
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,936
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,936 2,000
Acha uongo wewe sio kila mfanyakazi huko jeshini ni mwanajeshi Sema hujui tu, tuulize sisi ambao tunakaaa jeshini tumesoma jeshini tumekulia jeshini na Ndugu zetu wengi ni wanajeshi, huyo aliekuambia hapo juu ni mzoefu usilazimishe usilolijua na usipende kutetea kihisia wapo manes raia, wapo wahasibu raia Na madaktari raia Na wengne raia
Ila lazima ujue kuruka kichura churaa na push up.
 
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Messages
1,269
Points
2,000
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2014
1,269 2,000
Acha uongo wewe sio kila mfanyakazi huko jeshini ni mwanajeshi Sema hujui tu, tuulize sisi ambao tunakaaa jeshini tumesoma jeshini tumekulia jeshini na Ndugu zetu wengi ni wanajeshi, huyo aliekuambia hapo juu ni mzoefu usilazimishe usilolijua na usipende kutetea kihisia wapo manes raia, wapo wahasibu raia Na madaktari raia Na wengne raia
Hivi ukiwa mwanajeshi unakuwa sio raia au??
 
Forum statistics

Threads 1,336,611
Members 512,670
Posts 32,545,130
Top