RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 52,631
- 110,890
Wewe unaamini so called Ulaya ina watu wenye stress kuliko Africa? Wewe unahisi hivyo kwasababu wenzetu wana address matatizo ya akili, hapa hamna anaejali ndio mnafikiri tatizo hakuna. Mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga.Mkuu jabo muhimu ni kua stress free low standard au high standard ni useless kama mda wowote na pata heart attack kwa sababu ya stress za daily life.