- Thread starter
- #141
Maisha Ulaya ni stress ful, unafanya kazi kwa ajili ya ku-survive to meet your basics only, mimi mshabiki wa chelsea nilikaa miaka saba sijawahi kungia ujani kuangalia mpira, its costful interms of time and money, wskati hapo naangalia mpira yote dstv bila matatizo yoyote, atanikitaka kuenda uwanja wstaifa kuangalia timu zenu pendwa hata 50k haishi ambao ni kama $20, what acheap stress free life at bongo..........life is choice nyie endeleeni kuishi huko na depression zenu.
My young brother alipata Kazi Belgium akafanya Kama mwaka, kisha akapata bongo. Akasema ni heri afanye bongo kuliko kule hata kama maslah ni madogo lakini kuna maisha flan hivi yaan africanisations huku, free lunch ni nyingi....
Family life maisha ya ujamaaa. Kule ni full individualism na kuishi kwenye vijumba Kama domitories
So far wote tunamshangaa kwann ameamua kurudi huku Kwa mama samiya