Kwanini magonjwa ya figo, ini pamoja na mapafu yanaondoa vijana wengi sana?

Mapombeee makali ya hovyo ndo yanamaliza vijana,huku Kanda yaziwa Kuna shimha,kitoko,daimond,highlife,vodcka,sky,power,coffee,Busta,aseeee ninyingi muno
 
UKIMWI unabatizwa majina mengi mkuu kama hujui

Ukisikia kafa kwa tibii, sukari, ini, mara sijui nini nini ujue tayari ngoma imepita na mtu hapo!
 

Mkuu nipo pamoja na wewe
 
Nasikitika kuona watu wengi kukosa ufahamu wa kuona dunia jinsi inavyokwenda hawa jamaa wanapumbaza watu sana. Tuko aina mpya ya utumwa ambao ni mental slavery watu wanahitaji kuamka kwa kweli
 
Nimependa! Nashukuru kufahamu haya ila umekwenda out of point. Suala ni kuwa UKIMWI ndio huleta magonjwa kama hayo.

Kuhusu aina ya UKIMWI niongeleayo ni Upungufi wa Kinga Mwilini usababishwao na kirusi cha HIV!
 
Tatzo ni kunywa maji yasiyochemshwa na mawaz ya tozo
 
Double kiki+ ugoro+ bangi+ sigara+ nyagi + kvant= huwezi kuwa salama mzee
 
Acheni kusingizia sigara. Bi Kidude(R.I.P) alianza kuvuta fegi akiwa teenager na aliishi miaka 100 na chenji na alikufa na fegi mdomoni
 
UKIMWI NO!
POMBE NO!
SIGARA NO!
Haya magonjwa atayampate mzee anaenda tu sio kijana..
Mwanzo wa mwaka huu nimempoteza babu yangu siku ya mazishi nimempoteza kaka yangu, ambae alikua anamtibia babu yangu.
Kilichowaua ni kitu kimoja.FIGO ZIKAFERI INI LIKAFATA.
Kaka yangu alikua doctor safi sana alipitia ocean road pia.
R.I.P
 
Hata mimi nashangaa kuna wazee kijijini kwetu wanakunywa pombe kila siku ya maisha yao wanashinda shamba siku kuliko ambazo hawaendi kabisa lakini huwezi kusikia anaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…