Kwanini magonjwa mengi hatari yanatokea Afrika?

Kwanini magonjwa mengi hatari yanatokea Afrika?

wameshindwa kutengeneza kirusi cha kuwa zombie tu watuletee
 
NIMESIKILIZA BBC SWAHILI USIKU HUU WANASEMA UGONJWA HATARI WA ZIKA AMBAO UNASUMBUA BRAZIL NA AMERIKA KUSINI KWA UJUMLA ULIGUNDULIKA UGANDA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.NIKIVUTA KUMBUKUMBU ZANGU EBOLA ILIANZIA CONGO.UKIMWI ULIANZIA UGANDA.NDUI NA MALARIA NI AFRIKA.TUNA LAANA AU!?
sababu si ndo test ya kazi zao za mahabala wakishaunda kirusi wanatest kwetu na dawa awali wanafanya kama msaada kisikilizia kama watqfanimiwa mpngo wao then wanaongeza makari ya kirusi kwa madai hakisikii dawa araf wanaanza kupiga ela
PUMBAVU SANA white folks
 
Back
Top Bottom