Kwanini Magazeti ya leo yamempuuza Steve Nyerere?

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,432
2,629
Habar wakuu,

Ikumbukwe jana msanii SteveNyerere aliongea na wanahabar juu sakata la wema pamoja na mama yake juu ya kuvuja kwa maongez aliyokuwa anawasiliana na mama wema pia kuzungumzia suala la wema kutimkia CDM.

Magazeti leo hayajaandika chochot kuhusu press conference aliyoifanya jana...msanii huyu!

Je kwanini magazeti yamempuuzia Nyerere?..tofaut na wema ambaye aliandikwa na magazeti zaidi ya asilimia 99.9%
 
Habar wakuu,

Ikumbukwe jana msanii Vicent Nyerere aliongea na wanahabar juu sakata la wema pamoja na mama yake juu ya kuvuja kwa maongez aliyokuwa anawasiliana na mama wema pia kuzungumzia suala la wema kutimkia CDM.

Magazeti leo hayajaandika chochot kuhusu press conference aliyoifanya jana...msanii huyu!

Je kwanini magazeti yamempuuzia Nyerere?..tofaut na wema ambaye aliandikwa na magazeti zaidi ya asilimia 99.9%
Ni vecent au steve?

Kwa ninavyojua Vecent Nyerere alikuwa mbunge kupitia cdm 2010-2015 ila huyu Steve nyerere ni msanii wa filamu na ndie aliongea na waandishi wa habari kuhusu hilo sakata. Ebu rekebisha kidogo ndio utueleze ni nini ulikuwa unataka kusema.
 
Habar wakuu,

Ikumbukwe jana msanii SteveNyerere aliongea na wanahabar juu sakata la wema pamoja na mama yake juu ya kuvuja kwa maongez aliyokuwa anawasiliana na mama wema pia kuzungumzia suala la wema kutimkia CDM.

Magazeti leo hayajaandika chochot kuhusu press conference aliyoifanya jana...msanii huyu!

Je kwanini magazeti yamempuuzia Nyerere?..tofaut na wema ambaye aliandikwa na magazeti zaidi ya asilimia 99.9%
Wametumwa kuwa ni mpuuzi tu
 
ULISOMA MAGAZETI KWELI LEO????......acha kuandika kwa hisia kijana....Mbna magazeti yameripoti hiyo habari......
 
Back
Top Bottom